Header Ads

Responsive Ads Here

MSTAHIKI MEYA WA JIJI LA DSM AMTEMBELEA KARDINAL POLYCARP PENGO LEO


MSTAHIKI Meya wa jiji la Dar es Salaam Isaya Mwita amtembelea Askofu wa Jimbo kuu Katoliki la Dar es salaam Mwadhama  Kardinal Polycarp Pengo Ofisini kwake leo ,Kanisa la Mtakatifu Joseph  jijini leo.baada ya kutoka nje kwa matibabu.      
pol1
Mstahiki Meya wa jiji la Dar es Salaam Isaya Mwita akisalimiana na Askofu Mkuu wa jimbo Katoliki la Dar es Salaam Mwadhama  Kardinal Polycarp Pengo alipomtembelea ofisini kwake mapema leo.

pol2
Askofu Mkuu wa jimbo Katoliki la Dar es Salaam Mwadhama  Kardinal Polycarp Pengo akizungumza na Mstahiki Meya wa jiji la Dar es Salaam Isaya Mwita kuhusu hali ya afya yake alipomtembelea leo Ofisini kwake ,kanisa la Mtakatifu. Joseph.
pol3
Mstahiki Meya wa jiji la Dar es Salaam Isaya Mwita akimsikiliza Askofu Mkuu wa jimbo Katoliki la Dar es Salaam Mwadhama  Kardinal Polycarp  Pengo alipomtembelea ofisini kwake leo ,Kanisa la Mtakatifu Joseph jijini hapa.
pol5
Mstahiki Meya wa jiji la Dar es Salaam Isaya Mwita akipata Baraka kutoka kwa Askofu Mkuu wa jimbo Katoliki la Dar es Salaam Mwadhama  Kardinal Polycarp Pengo alipomtembelea ofisini kwake leo, katika kanisa la Mtakatifu Joseph leo alipomtembelea kumjilia hali yake.
pol6
Mstahiki Meya wa jiji la Dar es Salaam Isaya Mwita akisaini kitabu cha wageni mara baada ya kumjulia hali  Askofu Mkuu wa jimbo Katoliki la Dar es Salaam Mwadhama KardinalPolycarp  Pengo alipomtembelea ofisini kwake leo, katika kanisa la Mtakatifu Joseph leo alipomtembelea kumjilia hali yake.

No comments