Header Ads

Responsive Ads Here

MRISHO MPOTO AVUTIWA NA HUDUMA ZINAZOTOLEWA KATIKA BANDA LA PROPERTY INTERNATIONAL MAONYESHO YA SABASABA


1
Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Property International Bw. A. HaleemA akiongozana na Msanii wa muziki wa asili Mrisho Mpoto wakati msanii huyo alipotembelea banda la kampuni hiyo kwenye  maonyesho ya sabasaba yanayofanyika Viwanja vya Mwalimu J.K.Nyerere Barabara ya Kilwa jijini Dar es salaam jana.

3
Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Property International Bw. A. HaleemA akimuonyesha Tuzo mbalimbali Msanii wa muziki wa asili Mrisho Mpoto  ambazo kampuni hiyo imeshinda katika maonyesho hayo wakati msanii huyo alipotembelea banda la kampuni hiyo kwenye  maonyesho ya sabasaba yanayofanyika Viwanja vya Mwalimu J.K.Nyerere Barabara ya Kilwa jijini Dar es salaam jana.
6
Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Property International Bw. A. Haleem akimuonyesha Msanii wa muziki wa asili Mrisho Mpoto  ndege maalum isiyokuwa na rubani inayotumika kupiga picha katika upimaji wa masuala ya ramani  wakati msanii huyo alipotembelea banda la kampuni hiyo kwenye  maonyesho ya sabasaba yanayofanyika Viwanja vya Mwalimu J.K.Nyerere Barabara ya Kilwa jijini Dar es salaam jana.
7
Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Property International Bw. A. Haleem akimuonyesha Msanii wa muziki wa asili Mrisho Mpoto ramani mbalimbali za viwanja vilivyopimwa vinavyouzwa na kampuni hiyo.
8
Msanii wa muziki wa asili Mrisho Mpotoakiangalia rangi mbalimbali zinazopakwa kwenye kuta ambazo zinapatikana katika banda la kampuni hiyo kwenye viwanja vya Sabasaba.

No comments