Header Ads

Responsive Ads Here

MKUU WA KITENGO CHA MAWASILIANO WIZARA YA FEDHA ATEMBELEA BANDA LA DSTV KATIKA MAONYESHO YA SABASABA


1
Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Wizara ya FedhaBenny Mwaipaja akimuuliza swali Rihama Ali  Mmoja wa wasanii wa Bongo Movie wanaoonekana kwenye king’amuzi cha DSTV  wakati alipotembelea katika banda la Kampuni ya Multchoice ili kujua huduma mbalimbali zinazotolewa na kampuni hiyo katika maonyesho ya Sabasaba Barabara ya Kilwa jijini Dar es salaam.
3
Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Wizara ya FedhaBenny Mwaipaja akimuuliza swali Rihama Ali  Mmoja wa wasanii wa Bongo Movie wanaoonekana kwenye king’amuzi cha DSTV  wakati alipotembelea katika banda la Kampuni ya Multchoice kulia nia wafanyakazi wa kampuni hiyo.
2
Mwibaji wa Muziki wa Taarab Malkia Khadija Omar Kopa akitoa maelezo kwa wananchi waliotembelea katika banda la Multchoice ili kujipatia Ving’amuzi na kujua huduma kadhaa zinazotolewa na kampuni hiyo.
  4
Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Wizara ya FedhaBenny Mwaipaja akiwa katika picha ya pamoja na Afisa Masoko na Mawasiliano wa Multchoise Bi. Shumbana Walwa wakati alipotembelea katika banda hilo.
6
Picha zikionyesha wananchi wakijipatia huduma mbalimbali kwenye banda la kampuni ya Multchoice.
7

No comments