Header Ads

Responsive Ads Here

MKURUGENZI WA IDARA YA HABARI MAELEZO NA MHARIRI MTENDAJI WA MAGAZETI YA SERIKALI TSN WATEMBELEA BANDA LA EWURA


2
Mkurugenzi wa Idara ya Habari Maelezo Dk. Hassan Abbas akisalimiana na Meneja Mwasiliano na Mahusiano wa Mamlaka ya Udhibiti wa Nishati, Maji na Mafuta (EWURA) wakati alipotembelea banda hilo pamoja na mwenzake Mkurugenzi wa Idara ya habari Maelezo kwenye maonyesho ya Sabasaba yanayoendelea kwenye viwanja vya J.K.Nyerere Barabara ya Kilwa jijini Dar es salaam, Maonyesho hayo yanaandaliwa na Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara ya Nje (TANTRADE) na yanafanyika kilwa mwaka mwezi Julaim wengine katika picha ni baadhi ya wafanyakazi wa mamlaka hiyo wakiwa katika banda hilo ili kutoa maelezo mbalimbali kwa wageni wanaotembelea katika banda hilo kuhusu shughuli zake.

1
Mhariri Mtendaji wa  Magazeti ya Serikali  (TSN) Dk. Jimmy Yonaz akisalimiana na Meneja Mawasiliano na Uhusiano wa  Mamlaka ya Udhibiti wa Nishati, Maji na Mafuta (EWURA) Bw. Titus Kaguo wakati alipotembelea banda hilo pamoja na mwenzake Dk. Hassan Abbas Mkurugenzi wa Idara ya (HABARI  MAELEZO)  kwenye maonyesho ya Sabasaba yanayoendelea kwenye viwanja vya J.K.Nyerere Barabara ya Kilwa jijini Dar es salaam, Maonyesho hayo yanaandaliwa na Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara ya Nje (TANTRADE) na yanafanyika kilwa mwaka mwezi Julai.
3
Meneja Mawasiliano na Uhusiano wa  Mamlaka ya Udhibiti wa Nishati, Maji na Mafuta (EWURA) Bw. Titus Kaguo  akitoa maelezo kwa Mhariri Mtendaji wa  Magazeti ya Serikali  (TSN) Dk. Jimmy Yonaz  kushoto na Dk. Hassan Abbas Mkurugenzi wa Idara ya (HABARI  MAELEZO) wakati walipotembelea katika banda hilo.
4
Mhariri Mtendaji wa  Magazeti ya Serikali  (TSN) Dk. Jimmy Yonaz akisaini kitabu cha wageni katika banda hilo.
5
Mhariri Mtendaji wa  Magazeti ya Serikali  (TSN) Dk. Jimmy Yonaz akiagana na Meneja Mawasiliano na Uhusiano wa  Mamlaka ya Udhibiti wa Nishati, Maji na Mafuta (EWURA) Bw. Titus Kaguo na  Dk. Hassan Abbas Mkurugenzi wa Idara ya (HABARI  MAELEZO) kushoto mara baada ya  kutembelea katika banda hilo , katikati ni Mkurugenzi Msaidizi wa Idara ya Habari Maelezo Bw. Rodney Thadeus.
6
Meneja Mawasiliano na Uhusiano wa  Mamlaka ya Udhibiti wa Nishati, Maji na Mafuta (EWURA) Bw. Titus Kaguo kushoto pamoja na wafanyakazi wenzake wakiwa katika picha ya pamoja kwenye banda lao.

No comments