Header Ads

Responsive Ads Here

MKURUGENZI WA BANK OF AFRICA (BOA) ATEMBELEA BANDA LA BENKI HIYO KATIKA MAONYESHO SABASABA


ba1
Mkurugenzi Mtendaji wa BANK OF AFRICA Tanzania Bw. Ammish Owusu Amoah akisalimiana na Bw. Muganyizi Bisheko Meneja Masoko/ Utafiti Maendeleo wa BANK OF AFRICA leo wakati alipotembelea banda la  maonyesho la benki hiyo lililopo namba 85 katika ukumbi wa Sabasaba Hall viwanja vya J.K.Nyerere Barabara ya Kilwa jijini Dar es salaam katika maonyesho ya baisha ya (TANTRADE) yanayoendelea. 

ba2
Mkurugenzi Mtendaji wa BANK OF AFRICA Tanzania Bw. Ammish Owusu Amoah akiwa ameketi na Bw. Muganyizi Bisheko Meneja Masoko/ Utafiti Maendeleo wa BANK OF AFRICA leo wakati alipotembelea banda la  maonyesho la benki hiyo lililopo namba 85 katika ukumbi wa Sabasaba Hall viwanja vya J.K.Nyerere Barabara ya Kilwa jijini Dar es salaam, kulia ni Bi.Beth Mwalusako Afisa Mahusiano wa benki hiyo
ba3
Mkurugenzi Mtendaji wa BANK OF AFRICA Tanzania Bw. Ammish OwusuAmoah akisikiliza maelezo ya  Bw. Muganyizi Bisheko Meneja Masoko/ Utafiti Maendeleo wa BANK OF AFRICA leo wakati alipotembelea katika banda hilo.
ba4
Bi.Beth Mwalusako Afisa Mahusiano wa benki hiyo akizungumza na mmoja wa wateja wa benki hiyo aliyetembelea katika banda hilo.
ba5
Mkurugenzi Mtendaji wa BANK OF AFRICA Tanzania Bw. Ammish Owusu Amoah akisalimiana na Bw.Yusuph Mdoe Mratibu wa Mauzo katika benki hiyo.
ba6
Mkurugenzi Mtendaji wa BANK OF AFRICA Tanzania Bw. Ammish Owusu Amoah na  Bw. Muganyizi Bisheko Meneja Masoko/ Utafiti Maendeleo wa BANK OF AFRICA Tanzania wakiwa katika picha ya pamoja na wafanyakazi wa benki hiyo kutoka kulia ni Afisa Mahusiano wa BANK OF AFRICA tawi la Tandika Bi. Beatrice Richard na Bw.Yusuph Mdoe Mratibu wa Mauzo  na kutoka kushoto ni Afisa Uhusiano Emmy Addie na Bi.Beth Mwalusako Afisa Mahusiano wa benki hiyo.
ba7ba8
Katoka kulia ni maafisa Mahusiano wa BANK OF AFRICA  Bi. Beatrice Richard, Bi.Beth Mwalusako na Emmy Addie

No comments