Header Ads

Responsive Ads Here

Miradi Viporo Ikamilike Kabla ya Kuanza Miradi Mipya – Mhe Waziri Simbachawene

1Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais – Tamisemi Mhe. George Simbachawene (kushoto) akiwa na Mkuu wa Wilaya ya Mpwapwa Mhe. Jabir Shekimweri (kulia) wakati wa Kikao na wananchi wa Chinyika katika ziara yake Jimboni Kibakwe.

2Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais – Tamisemi Mhe. George Simbachawene akitoa maagizo kwa Walimu na Wanafunzi Nchini kutumia kemikali na vifaa vya maabara vilivyotolewa na Wizara ya Elimu na mfunzo ya Ufundi kwa ajili ya mazoezi ya mara kwa mara.
5Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais – Tamisemi Mhe. George Simbachawene (kushoto) katika picha ya pamoja na baadhi ya wananchi wa Kijiji cha Fufu.
3Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais – Tamisemi Mhe. George Simbachawene akiwasalimia wananfunzi wa Shule ya Sekondari Chinyika wakati wa ziara yake Jimboni Kibakwe.
4Waziri wa Nchi Ofisi y aRais – Tamisemi Mhe. George Simbachawene (kushoto) akipokea zawadi ya Mbuzi toka kwa wananchi wa Fufu alipofanya Mkutano wa hadhara katika kijiji hicho.
…………………………..
NteghenjwaHosseah, Kibakwe
ImekuanihulkainayoendeleakukuakatikaHalmashaurinyinginchinikuanzishaMiradimipyailihalimiradiviporoikiendeleakuzorotakwamiakakadhawakadhabilakukamilikahukuikiharibikanakusababishaupotevuwaFedhazilizowekwahapoawali.
Hali hiiimebainikakatikaHalmashauriyaWilayayaMpwapwawakatiwaziarayakikaziyaMhe. WaziriwaNchiofisiyaRaisiMhe. George Simbachawenealipotembeleakijiji cha Chinyika Kata yaMlunduzi, Tarafaya Rudi iliyopoKatikaJimbo la KibakwenakukutabaadhiyamiradikutokamilikakutokananakutotengewaFedhakatikaBajetiyamwakawaFedhauliofuata.
AkizungumzanawananchiwaKijiji cha ChinikaMhe. Waziri SimbachawenealisemanivyemamiradiinayofadhiliwanawadaunaileyaHalmashaurikuwanaumiliki (ownership)nakuthamininguvunafedhazilizotumikailihataikiishiakatikatiHalmashaurihusikaamawananchiwaeneohilokuwanamoyowakuendeleakutengafedha au kuchangiakutokamifukonimwenunakukamilishamradihusika.
UnakutaHalmashauriinatengaFedhakidogokwaajiliyamradi Fulani naunaishiakatikati kasha mwakaunaofuatawaFedhawatengeamiradimipyabadalayakuhakikishawanakamilishaulewaawalihiiinasababishamradiulekuharibikakwakukaamudamrefuhivyofedhazaSerikalikupoteabilamanufaayenyetijakwawananchialisemaMhe. Simbachawene.
Mara kadhawakadhaunakutaMdauanatoaFedhakutokakwenyemapatoyakenakuamuakutatuachangamotolakinakiishiakatikatibasiwananchinaHalmashaurihakunaanayejishughulishailikupatafedhazakukamilishamradikilamtuanaonakamahahusikinaukamilishajiwamradihuohiisitabianzurinanaikemeanakuzitakaHalmashaurizotekuiachamaramojaaliongezaSimbachawene.
Alisisitizakuwawakati Fulani HalmahsuriilitoaTsh Mil 26 kwaajiliyanyumbayamwalimu (Two in One) nafedhahazikutosha: NilitegemeaHalmashauriwataingizakwenyempangowabajetimwakaunaofuatalakinihamnakitunampakaleo jingo hilohalijakamilika.
“NatoaAgizokwaHalmashaurizote Tanzania kuhakikishamiradiyoteiliyoanzishwanawadau, nguvuzawananchi au Serikalikuhakikishainakamilikakablayakuanzishamiradimipyakupitianjiahiithamaniyafedhaitaonekana, tofautiyahapofedhazilizotumikazitapoteabilakusaidiajamii” AlisemaSimbachawene.
AwalikatikaziarahiyoMkuuwaWilayayaMpwapwaMhe. Jabir ShekimwerialiwasilishachangamotozawananchiwaKijiji cha ChinyikakuwanisintifahamuyamapatoyaMnarawaHalotelulisimikwakatikakijijilakinkijijihakinufaikinapatololote, BaadhiyawananchikushirikikwenyeKilimo cha BanginaWakaziwachachekuharibuchanzo cha majihivyokusababishaukosefuwaMajikwawananchiwotewakijiji cha Chinyika.
Mhe.Simbachaweneameahidikuongezanguvukatikaoperesheniyakuwakamata wale wotewanaolimaBangikatikaJimbo la KibakwenakuwapelekaMahakamniyeyoteatakayekamatwakuharibuchanzo cha Maji.
Mhe. SimbachaweneanaendeleanaziarayakekatikaJimbokaKibakwenakatikasikuyapiliametembeleavijijivyaChinyika, ChaludewapamojanaFufu.

No comments