Header Ads

Responsive Ads Here

Mh.Paul Makonda akutana na Mstahiki Meya wa manispaa ya Moshi Mh.Raymond Mboya


kod1
Mh.Paul Makonda akiwa pamoja na Mstahiki Meya wa manispaa  ya Moshi Mh.Raymond Mboya ofisini kwake jijini Dar es salaam jana 06/07/2017. Mstahiki Meya wa manispaa ya Moshi amekutana na Mh. Paul Makonda kuzungumzia shughuli mbalimbali za kimaendeleo

kod2

No comments