Header Ads

Responsive Ads Here

MHE.RAIS DKT.MAGUFULI AHUTUBIA ENEO LA MSAMVU MOROGORO


1
Rais wa Jamuhuri Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli Akisisitiza jambo alipokuwa akiwahutubia Wananchi wa eneo la Stendi ya Mabasi Msamvu  Mkoani Morogoro akitokea Mkoani Dodoma. Julai 27,2917.

2
Rais wa Jamuhuri Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli Akihutubia  Wananchi wa eneo la Stendi ya Mabasi Msamvu  Mkoani Morogoro waliokuwa wamejitokeza kumsalimia  akitokea Mkoani Dodoma. Julai 27,2917.
3
Rais wa Jamuhuri Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli Akimsikiliza Bi Maria Gabrieli aliyemweleza Mh Rais Juuu ya kero za wafanyabiasahara ndogondogo wa Stendi ya Mabasi Msamvu  Mkoani Morogoro kunyanyaswa. Julai 27,2917.
4
Rais wa Jamuhuri Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli Akimsikiliza Bi Halima Alli aliyemweleza Mh Rais Juuu ya kero za wafanyabiasahara ndogondogo wa Stendi ya Mabasi Msamvu  Mkoani Morogoro kunyanyaswa. Julai 27,2917
……………………………………………………………….
index

No comments