Header Ads

Responsive Ads Here

Mhe Spika Job Ndugai atambulishwa kwa Maspika wa Mabunge ya Jumuiya ya Madola Barani Afrika


ndug1
Mhe Spika Job Ndugai akitambulishwa katika mkutano wa Maspika wa Mabunge ya Jumuiya ya Madola Barani Afrika unaofanyika Abuja Nigeria.Mkutano huo unafanyika kujadili masuala mbali mbali yanayohusu mabunge hayo unashirikisha Maspika toka nchi 18 za Jumuiya ya Madola Barani Afrika

No comments