Header Ads

Responsive Ads Here

Mhe. Samia Suluhu Hassan alipomjulia hali mtoto wa Rais Mstaafu Khalfan Kikwete


salm1
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan  amemjulia hali mtoto wa Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne, Khalfan Kikwete ambaye amelazwa katika wodi ya Sewa Haji katika hospitali ya Taifa Muhimbili jijini Dar es Salaam. ( Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)

salm2

No comments