Header Ads

Responsive Ads Here

MH. RAIS DKT. JOHN POMBE MAGUFULI AWASILI KIGOMA AKITOKEA KAGERA, AZINDUA MIRADI YA MAENDELEO NA KUHUTUBIA WANANCHI KWENYE MIKUTANO YA HADHARA AKIWA NJIANI

 1 (3)
Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwahutubia wananchi wa Kakonko kabla ya kuzindua Ujenzi wa barabara ya Kibondo -Nyakanazi yenye urefu wa kilometa 54,katika mkoa wa Kigoma Rais yupo mkoani Kigoma kwa Ziara ya siku Tatu

1 (4)
Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akikazia jambo wakati akiwahutubia wananchi wa Kakonko Kibondo  katika mkoa wa Kigoma Rais yupo mkoani Kigoma kwa Ziara ya siku Tatu
1 (5)
Wananchi wa Wilaya ya Kakonko Mkoani Kigoma wakisikiliza Hotuba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli wakati wa Uzinduzi wa  Ujenzi  wa Barabara  ya Kibondo -Nyakanazi yenye urefu wa kilometa 54,Sherehe zilizo fanyika katika uwanja wa Standi Mpya ya Mabasi Kakonko katika mkoa wa Kigoma Rais yupo mkoani Kigoma kwa Ziara ya siku Tatu1 (2)
1 (6)
Baaadhi ya Viongozi wa vyama vya siasa na wananchi wa Wilaya ya Kakonko Mkoani Kigoma wakisikiliza Hotuba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli wakati wa Uzinduzi wa  Ujenzi  wa Barabara  ya Kibondo -Nyakanazi yenye urefu wa kilometa 54,Sherehe zilizo fanyika katika uwanja wa Standi Mpya ya Mabasi Kakonko katika mkoa wa Kigoma Rais yupo mkoani Kigoma kwa Ziara ya siku Tatu
1 (7)
Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli  pamoja na viongozi mbalimbali wakifungua kitambaa kuashiria kuweka jiwe la msingi la ufunguzi wa Barabara kiwango cha lami km… kutoka Kakonko hadi Nyakanazi
1 (8)
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli  pamoja na viongozi mbalimbali serikali wakikata Utepe  kuashiria kuweka jiwe la Msingi la Uzinduzi wa Ujenzi wa  Barabara  ya Kibondo -Nyakanazi yenye urefu wa kilometa 54 kwa kiwango cha lami.
1 (9)
Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli  akiwasalimia wananchi wa mji wa Kibondo wakati akiwa safarini kutoka Ngara kuelekea Mkoani Kigoma


1 (11)1 (12) 1 (14)
Rais wa jamhuri ya muungano wa tanzania Dkt. John Pombe Magufuli  akisalimiana na kijana mwenye ulemavu amabye ni fundi wa kushona nguo ndugu Aron Michael Kapililo mkazi wa Kibondo ambaye alisimiana na mh rais alipokuwa amesimama kibondo kusalimiana na wananchi  akiwa safarini kutoka Ngara kuelekea Mkoani Kigoma
1 (15)
Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na mamia ya wananchi wa kijiji cha Kifura Kibondo Mkoani kigoma waliokuwa wamesimama njiani ili kusalimiana na mh Rais akiwa njiani  safarini kutoka Ngara kuelekea Mkoani Kigoma
1 (16)1 (17)
Mamia ya wakazi wa Kasulu Mkoani Kigoma waliojitokeza kumsikiliza Rais wa jamhuri ya muungano wa tanzania Dkt. John Pombe Magufuli wakati wa uzinduzi wa ujenzi wa barabara kwa kiwango cha lami yenye urefu wa kilometa 63 Kidawe – Kasulu.
1 (18)
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na mamia ya wananchi wa Mamia ya wakazi wa Kasulu Mkoani Kigoma waliojitokeza kumsikiliza Rais wa jamhuri ya muungano wa tanzania Dkt. John Pombe Magufuli wakati wa uzinduzi wa ujenzi wa barabara kwa kiwango cha lami yenye urefu wa kilometa 63 Kidawe – Kasulu.
1 (19)
Mamia ya wakazi wa Kasulu Mkoani Kigoma waliojitokeza kumsikiliza Rais wa jamhuri ya muungano wa tanzania Dkt. John Pombe Magufuli wakati wa uzinduzi wa ujenzi wa barabara kwa kiwango cha lami yenye urefu wa kilometa 63 Kidawe – Kasulu.
1 (20)
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na mamia ya wananchi wa Mamia ya wakazi wa Kasulu Mkoani Kigoma waliojitokeza kumsikiliza Rais wa jamhuri ya muungano wa tanzania Dkt. John Pombe Magufuli wakati wa uzinduzi wa ujenzi wa barabara kwa kiwango cha lami yenye urefu wa kilometa 63 Kidawe – Kasulu.
1 (21)1 (22)
Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli akiwapungia Mikono kwa Mamia ya wakazi wa Kasulu Mkoani Kigoma waliojitokeza kumsikiliza Rais wa jamhuri ya muungano wa tanzania Dkt. John Pombe Magufuli wakati wa uzinduzi wa ujenzi wa barabara kwa kiwango cha lami yenye urefu wa kilometa 63 Kidawe – Kasulu.
1 (23)
Rais wa jamhuri ya Muungano waTanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na baadhi ya viongozi walioshiriki uzinduzi wa uzinduzi wa ujenzi wa barabara kwa kiwango cha lami yenye urefu wa kilometa 63 Kidawe – Kasulu
1 (24)
Rais wa jamhuri ya Muungano waTanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na baadhi ya viongozi walioshiriki uzinduzi wa uzinduzi wa ujenzi wa barabara kwa kiwango cha lami yenye urefu wa kilometa 63 Kidawe – Kasulu
1 (25)
Rais wa jamhuri ya Muungano waTanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Mbunge wa Kigoma mjini Mh. Zotto Kabwe mara baada ya wa uzinduzi wa ujenzi wa barabara kwa kiwango cha lami yenye urefu wa kilometa 63 Kidawe – Kasulu
1 (26)1 (27)
Rais wa jamhuri ya Muungano waTanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na viongozimbalimbali wa mkoa wa Kigoma akikata  utepe kuashiria Uzinduzi wa  ujenzi wa barabara kwa kiwango cha lami yenye urefu wa kilometa 63 Kidawe – Kasulu Mkoani Kigoma,
1 (28)
Rais wa jamhuri ya Muungano waTanzania Dkt. John Pombe Magufuli akitembea kwa miguu huku akiwapungia mkono wananchi waliokuwa wamefurika njiani mara baada ya  Uzinduzi wa  ujenzi wa barabara kwa kiwango cha lami yenye urefu wa kilometa 63 Kidawe – Kasulu Mkoani Kigoma,

No comments