Header Ads

Responsive Ads Here

MCHAKATO WA UANZISHAJI TAASISI YA TEKNOLOJIA YA UJENZI WAANZA.Mwenyekiti wa Taasisi ya ECOM Research Group Ltd, Profesa Godwin Daniel Mjema akifafanua jambo mbele ya wadau wa sekta ya ujenzi wakati wa warsha kuhusu uanzishwaji wa Taasisi ya Teknolojia ya Ujenzi (ICoT) jijini Dar es Salaam leo Julai 21, 2017.


Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano – Sekta ya Mawasiliano Mhandisi Angelina Madete akisisitiza jambo alipokuwa akifungua warsha kuhusu uanzishwaji wa Taasisi ya Teknolojia ya Ujenzi (ICoT) jijini Dar es Salaam leo.


Mratibu wa wataalam wa uanzishaji wa Taasisi ya Teknolojia ya Ujenzi (ICoT), Profesa Peter Chonjo akiwasilisha mada namna ambavyo ICoT inaweza kuanzishwa mbele ya wadau wa sekta ya ujenzi wakati wa warsha ya siku moja kuhusu uanzishaji wa Taasisi ya Teknolojia ya Ujenzi (ICoT) jijini Dar es Salaam leo.


Mratibu wa wataalam wa uanzishaji wa Taasisi ya Teknolojia ya Ujenzi (ICoT), Profesa Peter Chonjo akiwasilisha mada namna ambavyo ICoT inaweza kuanzishwa mbele ya wadau wa sekta ya ujenzi wakati wa warsha ya siku moja kuhusu uanzishaji wa Taasisi ya Teknolojia ya Ujenzi (ICoT) jijini Dar es Salaam leo.


 Mmoja wa wataalam elekezi wa uanzishaji wa Taasisi ya Teknolojia ya Ujenzi (ICoT), Profesa Beatus Kundi akifafanua jambo kwa wadau wa sekta ya ujenzi wakati wa warsha ya siku moja kuhusu uanzishaji wa Taasisi ya Teknolojia ya Ujenzi (ICoT) jijini Dar es Salaam leo.


Kaimu Mkurugenzi wa Barabara kutoka Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano – Sekta ya Ujenzi, Mhandisi John Ngowi (wa pili kulia) akifuatilia mada wakati wa warsha ya siku moja kuhusu uanzishaji wa Taasisi ya Teknolojia ya Ujenzi (ICoT) jijini Dar es Salaam leo. Kulia ni Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano – Sekta ya Mawasiliano Mhandisi Angelina Madete.Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano – Sekta ya Mawasiliano Mhandisi Angelina Madete(wanne kutoka kulia) akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wadau wa sekta ya ujenzi mara baada ya kufungua warsha ya siku moja kuhusu uanzishwaji wa Taasisi ya Teknolojia ya Ujenzi (ICoT) jijini Dar es Salaam leo.(Na: Mpiga Picha Wetu)

No comments