Header Ads

Responsive Ads Here

MATUKIO YALIYOJIRI MAONYESHO YA SABASABA LEO KWENYE VIWANJA VYA J.K.NYERERE JIJINI DAR ES SALAAM


L1
Kaimu Mkuu wa Kitengo cha Mawasilano Shirika la Ndege la  ATCL Bi. Lilian Fungamtama akifurahia jambo na wananchi waliotembelea banda la shirika hilo lililopo katika banda la Maliasili  katika maonyesho ya Maonyesho ya biashara ya Sabasaba yanayoendelea kwenye viwanja vya Mwalimu J.K.Nyerere Barabara ya Kilwa jijini Dar es salaam, Maonyesho hayo yanaandaliwa na Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara ya Nje TANTRADE na kufanyika kila mwaka mwezi Julai.

L2L3
Baadhi ya wananchi mbalimbali wakitembelea banda la Shirika la Ndege la ATCL katika viwanja vya maonyesho vya J.K.Nyerere Barabara ya Kilwa.
L4
Octavian Nshiu Makamu wa Rais Viwanda Shirika la TCCIA akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya watumishi wa shirika hilo katika banda lao kwenye maonyesho ya Sabasaba yanayoendelea Barabara ya Kilwa jijini Dar es salaa,
L6L7
Baadhi ya wadau wa TCCIA wanaoshughulika na mavazi ya viwandani na ujenzi  wakiwa katika banda lao kwenye maonyesho ya Sabasaba Barabara ya Kilwa jijini Dar es salaam.
L8

No comments