Header Ads

Responsive Ads Here

MATUKIO KATIKA PICHA: YALIYOJIRI KATIKA KIKAO CHA 58 MKUTANO WA SABA BUNGE LA 11 MJINI DODOMA LEO JULAI 3, 2017.


PIX 1 Mhe.Tulia
 Naibu Spika  wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dk.Tulia Ackson  akiongoza    kikao cha hamsini na nane cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Julai 3, 2017.

PIX 2 Mhe.Palamagamba
Waziri wa Katiba na Sheria Mhe.Prof Palamagamba Kabudi akisoma maelezo kuhusu muswada wa Sheria ya Mamlaka ya Nchi kuhusiana na umiliki wa maliasili wa mwaka 2017   katika kikao cha hamsini na nane cha Mkutano wa hamsini na nane wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Julai 3, 2017.
PIX 3 Mhe.Jafo
Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais-TAMISEMI Mhe.Selemani Jafo  akijibu maswali mbalimbali ya wabunge katika kikao cha hamsini na nane cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Julai 3, 2017.
PIX 4 Mhe.kalemani
Naibu Waziri wa Nishati na Madini Mhe.Dk Medard Kalemani akijibu maswali mbalimbali ya wabunge katika kikao cha hamsini na nane cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Julai 3, 2017.
PIX 5 Mhe.Kamwelwe
Naibu Waziri wa Maji na Umwagiliaji Mhe.Isack Kamwelwe akijibu maswali mbalimbali ya wabunge   katika kikao cha hamsini na nane cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Julai 3, 2017.
PIX 6 Mhe.Makani
Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe.Ramo Makani  akijibu maswali mbalimbali ya wabunge    katika kikao cha hamsini na nane cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Julai 3, 2017.
PIX 7 Mhe.Kijaji
Naibu Waziri wa Fedha na Mipango Mhe.Dk.Ashatu Kijaji  akijibu maswali mbalimbali ya wabunge  katika kikao cha hamsini na nane cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Julai 3, 2017.
PIX 8 Mhe.Mpango na Mhagama
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera,Bunge,Kazi,Vijana,Ajira na watu wenye Ulemavu Mhe.Jenista Mhagama akiteta jambo na Waziri wa fedha na Mipango Mhe.Dk Philip Mpango   katika kikao cha hamsini na nane cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Julai 3, 2017.
PIX 9 Mhe.majaliwa na Salma
Waziri Mkuu Mhe.Kassim Majaliwa akisalimiana na Mbunge wa Kuchaguliwa Mhe.Salma Kikwete  katika kikao cha hamsini na nane cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Julai 3, 2017.
PIX 10 Mhe.Waziri Mkuu na Mbatia
Waziri Mkuu Mhe.Kassim Majaliwa akiteta jambo na Mbunge wa Vunjo Mhe.Eng James Mbatia  katika kikao cha hamsini na nane cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Julai 3,2017.
Picha Zote na Daudi Manongi- Dodoma MAELEZO, DODOMA

No comments