Header Ads

Responsive Ads Here

MATUKIO KATIKA PICHA MAONYESHO YA SABASABA JIJINI DAR ES SALAAM


AZ1
Mtaalam wa Mikopo ya Nyumba (Mortigage Specialist) kutoka Benki ya Azania Bi. Liberia Peter akimpatia zawadi ya (Tyre Cover )kwa mteja wa Benki hiyo Bw. Kombo Noti  aliyetembelea katika banda hilo kwenye maonyesho ya 41 ya TANTRADE yanayoendelea katika viwanja vya Sabasaba Barabara ya Kirwa jijini Dar es salaam.

AZ2
Wafanyakazi wa TRA wakitoa maelezo kwa wananchi waliotembelea katika banda Wizara ya Fedha na Mipango kwenye maonyesho ya Sabasaba yanayofanyika kwenye Viwanja vya Mwalimu J.K.Nyerere Barabara ya Kilwa jijini Dar es salaam.
AZ3AZ4
Bw Jummane Nnyamgunda kutoka Shirika la Bima la Taifa NIC akitoa maelezo kwa Bw. Kombo Kono wakati alipotembelea Banda la Wizara ya Fedha.
AZ5
Bw. Victor Musendo akitoa maelezo kwa mmoja wa wananchi aliyeembelea katika banda la NDC.

No comments