Header Ads

Responsive Ads Here

MALIPO YA KODI YA PANGO LA ARDHI YAENDELEA KWA KASI NCHINI


UMM1
Bango la Wakati Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi likionyesha ongezeko la siku 15 kwa wadaiwa wa Kodi ya Pango la Ardhi kuendelea kufanya malipo hayo katika  Vituo mbalimbali vya Makusanyo hayo vimeonekana kufurika.

UMM2
Kituo cha Makusanyo- Kivukoni, Magogoni (Dar es Salaam)Wananchi wameendelea kujitokeza kufanya Malipo ya Kodi ya Pango la Ardhi.
UMM3
Moja ya Kituo cha Makusanyo- Tanga wananchi wakiwa katika foleni tayari kwa kulipia kodi zao za ardhi.

No comments