Header Ads

Responsive Ads Here

MAKAMU WA RAIS MH. SAMIA SULUHU HASSAN ATEMBELEA BANDA LA PROPERTY INTERNATIONAL VIWANJA VYA SABASABA


z7
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Mh. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Property International Bw. A. Haleem  wakati alipowasili  katika banda la kampuni hiyo lililoko katika Maonyesho ya biashara ya Sabasaba viwanja vya Mwalimu J.K.Nyerere Barabara ya Kilwa jijini Dar es salaam ambapo maonyesho ya biashara ya Sabasaba yanayoendelea  kwa muda wa siku kumi na mbili .

z8
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Mh. Samia Suluhu Hassan akisaini kitabu cha wageni  wakati alipowasili  katika banda la kampuni hiyo lililoko katika Maonyesho ya biashara ya Sabasaba viwanja vya Mwalimu J.K.Nyerere Barabara ya Kilwa jijini Dar es salaam kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Property International Bw. A. Haleem
z9
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Mh. Samia Suluhu Hassan , Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mh. Paul Makonda na Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Property International Bw. A. Haleem  wakijadiliana jambo wakati Makamu wa Rais alipotembelea katika banda la kampuni hiyo.
z10
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Mh. Samia Suluhu Hassan  akipata maelezo kutoka kwa  Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Property International Bw. A. Haleem kuhusu Ndege Maalum usiyotumia rubani inayopiga picha za Ramani za Majengo na matumizi mengine kwa muda mfupi zaidi na kurahisisha kazi ya upimaji ikiwa ni pamoja na kuokoa fedha nyingi katika miradi ya upimaji, Kulia ni Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Bw. Charles Mwijage
z11
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Mh. Samia Suluhu Hassan akionyeshwa michoro ya ramani mbalimbali za viwanja na  Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Property International Bw. A. Haleem wakati  alipotembelea katika banda la kampuni hiyo.
z12
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Mh. Samia Suluhu Hassan akionyeshwa aina mbalimbali za rangi za nyumba  na  Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Property International Bw. A. Haleem wakati  alipotembelea katika banda la kampuni hiyo.
z13
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Mh. Samia Suluhu Hassan akionyeshwa akionyeshwa moja ya teknolojia ya ujenzi wa nhumba nafuu kutoka kwa mmoja wa wataalamu wa Kampuni ya Property International  wakati  alipotembelea katika banda la kampuni hiyo.
z14
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Mh. Samia Suluhu Hassan akipewa maelezo ya vifaa mbalimbali vya ujenzi vinavyopatikana kutoka kampuni hiyo  na  Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Property International Bw. A. Haleem
z15
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Mh. Samia Suluhu Hassan akizungumza na viongozi mbalimbali wa   Kampuni ya Property International  wakati  mara baada ya kumaliza kutembelea katika banda la kampuni hiyo.
z16
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Mh. Samia Suluhu Hassan akiakizungumza na Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Mh. Paul Makonda mara baada ya kumaliza kutembelea katika banda la kampuni hiyo.

No comments