Header Ads

Responsive Ads Here

MAKAMU WA RAIS MH. MAMA SAMIA SULUHU HASSAN AMWAKILISHA RAIS KWENYE MKUTANO WA AU ADDIS ABABA ETHIOPIA


kamu1
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan amemwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Dk.  John Pombe Magufuli katika mkutano wa AU kwenye  Makao makuu ya Umoja huo  Ethiopia.Mkutano umefunguliwa hii Leo Jijini Addis Ababa.

kamu2
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan ambaye  amemwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Dk.  John Pombe Magufuli katika mkutano wa AU katika Makao makuu ya Umoja huo nchini Ethiopia.Mkutano umefunguliwa hii Leo Jijini Addis Ababa.

No comments