Header Ads

Responsive Ads Here

MABONDIA IDD MKWELA, VICENT MBILINYI, SELEMANI SIMBA NA ROLEN JAPHET WAENDELEA NA MAZOEZI UHURU GYM


Kocha wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila ‘Super D’ kushoto akimnoa bondia Idd Mkwela anayeijandaa na mpambano wake wa Agosti 12 katika ukumbi wa Manyara Park uliopo Manzese Dar Es salaam Picha na SUPER D
Kocha wa kimataifa wa mchezo wa masumbwiu nchini Rajabu Mhamila ‘Super D’ kushoto akimnoa bondia Idd Mkwela anaeijandaa na mpambano wake wa Agosti 12 katika ukumbi wa Manyara Park uliopo Manzese Dar Es salaam Picha na SUPER D BOXING NEWS
 
 
Kocha wa Kimataifa wa Mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila ‘Super D’ kushoto akimwelekeza bondia Vicent Mbilinyi jinsi ya kupiga ngumi za mkunjo wa chini ‘Upcut’ wakati wa mazoezi yanayoendelea katika kambi ya Super D Uhuru GYM Kariakoo Shule ya Uhuru Dar es alaam Picha na SUPER D BOXING NEWS
 
Kocha wa Kimataifa wa mchezo wa Masumbwi nchini Rajabu Mhamila ‘Super D’ wa pili kutoka kulia akiwa na mabondia Selemani Simba Vicent Mbilinyi na Idd Mkwela Picha na SUPER D BOXING NEWS
Mabondia Idd Mkela na Rolen Japhet wakioneshana umwamba wa kutupiana makonde wakati wa mazoezi yanayoiendelea katika kambi ya Super D Coach Uhuru GYM Shule ya Uhuru Kariakoo Dar es salaam Picha na SUPER D BOXING NEWS
KAMBI YA SUPER D COACH UHURU GYM KARIAKOO 

No comments