Header Ads

Responsive Ads Here

LWANDAMINA AWASILI DAR KWA AJILI YA KUANZA MAANDALIZI YA MSIMU UJAO NA KLABU YAKE YA YANGA


KOCHA mkuu wa Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Tanzania bara Yanga SC , George Lwandamina amewasili mchana wa leo akitokea kwao nchini Zambia alikuwepo huku kwa mapumziko baada ya kutetea ubingwa kwa mara ya tatu mfululizo.
Lwandamina amerejea tayari kuanza kukinoa kikosi cha Yanga kwa ajili ya msimu ujayo kwa mikikimikiki ya Ligi inayotarajia kuanza mwezi wa Augusti na wanatarjia kuanza mazoezi siku ya Jumatano ya wiki hii.

No comments