Header Ads

Responsive Ads Here

LWANDAMINA AMPA VITU VIPYA AJIBU


Kocha George ‘Chicken” Lwandamina ameamua kumpa mazoezi ya ziada mshambuliaji wake mpya, Ibrahim Ajib.

Lwandamina ameamua kuhakikisha Ajibu anakuwa fiti katika kiwango kinachoweza kumfanya atimize majukumu atakayompa.

“Lwandamina amegundua Ajibu ni mchezaji mwenye kipaji sana lakini hayuko fiti kama anavyotaka, hivyo ameamua kulifanyia kazi hilo,” kilieleza chanzo.
Yanga ipo kambini mjini Morogoro ambako inajiandaa na msimu mpya wa 2017-18.

No comments