Header Ads

Responsive Ads Here

KITUO JUMUISHI CHA HUDUMA ZA MAHAKAMA CHAZINDULIWA MBEYA

DSC07305
KAIMU JAJI MKUU WA TANZANIA MHE. PROF. IBRAHIM HAMIS JUMA AKIONESHWA MFUMO UNAOTUMIKA KATIKA UFUATILIAJI WA MAHASHAURI MAHAKAMANI MARA BAADA YA KUZINDUA JENGO LA MAHAKAMA KUU KANDA YA MBEYA LIMEFANYIWA UKARABATI MKUBWA NA KUWA KITUO CHA KWANZA JUMUISHI CHA UTOAJI WA HUDUMA ZA MAHAKAMA NCHINI
3.KAIMU JAJI MKUU WA TANZANIA MHE. PROF. IBRAHIM HAMIS JUMA AKIZUNGUMZA KUPITIA MFUMO WA MAWASILIANO -VIDEO CONFERENNCING (HAUPO PICHANI ) ULIOFUNGWA KWA AJILI YA KURAHISISHA USIKILIZAJI WA MASHAURI
DSC07334
KAIMU JAJI MKUU WA TANZANIA MHE. PROF. IBRAHIM HAMIS JUMA AKISHANGILIA BAADA KUKATA UTEPE KUZINDUA JENGO LA MAHAKAMA KUU YA TANZANIA KANDA YA MBEYA. JENGO LA MAHAKAMA KUU KANDA YA MBEYA LIMEFANYIWA UKARABATI MKUBWA NA KUWA KITUO CHA KWANZA JUMUISHI CHA UTOAJI WA HUDUMA ZA MAHAKAMA NCHINI
DSC07331
WAHESHIMIWA MAJAJI WAKIFUATILIA MFUMO WA MAWASILIANO -VIDEO CONFERENNCING (HAUPO PICHANI ) ULIOFUNGWA KWA AJILI YA KURAHISISHA USIKILIZAJI WA MASHAURI MAHAKAMANI
……………………….
KITUO JUMUISHI CHA UTOAJI HAKI CHAZINDULIWA MBEYA
Na Lydia Churi-MahakamaMbeya
KaimuJajiMkuuwa Tanzania Mhe. Prof. Ibrahim HamisJumaamezinduajengo la Mahakamakuuya Tanzania kandayaMbeyaambayoinakuwaniMahakamakuuya kwanza nchinikufanyakazikamakituojumuishi cha utoajiwahudumazaMahakama.
Jengo la MahakamaKuuyaMbeyalilifanyiwaukarabatimkubwaambapobaadayakukamilikakwaukarabatihuo, hivisasajengohilolinajumuishapiaofisizawadauwamahakamawakiwemoPolisi, Magereza, naUstawiwaJamiiilikurahisishakaziyautoajihaki.
Akizinduajengohilomwishonimwa wiki jijiniMbeya, KaimuJajiMkuualisemamaboreshoyajengohilonihatuayautekelezajiwaMpangoMkakatiwamiakamitano(2015/16-2019/20)waMahakamaya Tanzania ambaomojayanguzozakenikusogezahudumazamahakamakaribuzaidinawananchi. 
Alisemapamojanakuboreshwakwahudumazamahakamabadowananchiwatapendakuonawanahudumiwanawatumishiwanaofuatamaadiliyakazizaohivyoaliwatakawatumishiwamahakamanchinikuhakikishawanatekelezawajibuwaoipasavyokwakutangulizambele utu.
KaimuJajiMkuualisemakuzinduliwakwajengohiloniisharakuwamahakamaya Tanzania inabadilikanakuachananaujenziwakizamaniwamajengoyakeambapoalisemasasaMhimilihuounajengamajengoyanayozingatiamatumiziyateknolojiayahabarinamawasilianoa (TEHAMA) piaambayoyatatoanafasikwawadauwaMahakamakuwekaofisizaoilikurahisishasuala la utaojihaki. 
Aidha, JajiMkuuameiombaserikalikutengafedhakwaajiliyauanzishwajiwamahakamapale inapoanzishamaeneomapyayakiutawalazikiwemowilayanamikoailikuisaidiamahakamakuendeleakusogezahudumazakekaribuzaidinawananchi.
AliwaombaWakuuwotewamikoanchinipamojanawakuuwawilayakuwasehemuyamaboreshoyaMahakamakwakuwawanategemewakuratibuustawiwamaendeleoyawananchihivyobasiviongozihaohawanabudikusimamiaipasavyosuala la amanikwakutatuamigogorokatikajamii.
KaimuJajiMkuupiaaliishukuruBenkiyaDuniakwamchango wake katikaujenziwamahakamanchini. AlisemahivisasaTaasisihiyoimetoawazo la kuanzishwakwaMahakamazinazotembea (Mobile Courts ilikutimizaazmayakeyakusogezakaribuhudumazamahakamakwawananchi.
Jengo la mahakamaKuukandayaMbeyalilianzakufanyiwaukarabatiFebruari 2016 nakukamilikamweziAprilimwakahuuuliogharimuzaidiyashilingibilioni 3.4 ikiwanipamojanakufungwakwamifumoyakisasa (video conferencing) ilikurahisishautendajikazinakumalizamashaurikwawakati.

No comments