Header Ads

Responsive Ads Here

KAMPUNI YA ULINZI YA SGA TANZANIA YATOWA MSAADA TAASISI YA MIFUPA MUHIMBILI MOI

 Wafanyakazi wa Kampuni ya Ulimzi wakishusha Msaada wa Vitu Mbalimbali yenye Thamani ya Sh. Milioni Mbili na Nusu,  ikiwemo viti viwili  vya magurudumu (Wheel chair), Dawa,   (PICHA ZOTE NA KHAMISI MUSSA)

 Wafanyakazi wa Kampuni ya Ulinzi ya SGA Tanzani yamwaga Msaada katika Taasisi ya Tiba ya Mifupa (MOI)

 Mkurungenzi Mkuu wa Kampuni ya ulinzi ya SGA Tanzania, Eric Sambu (kushoto) akimkabidhi kiti cha magurudumu (Wheel chair) Mkurugenzi wa huduma za Uuguzi wa Taasisi ya Tiba ya Mifupa (MOI), Flora Kimaro. katika hafla iliyofanyika Dar es Salaam jana, Wanaoshuhudia katikati ni meneja wa wateja na huduma za jamii,  Aikande Makere na wapili kulia nia Meneja wa Ustawi wa Jamii na Uhusiano wa Taasisi hiyo, Jumaa Almasi 
 Meneja wa Wateja na Huduma za Jamii, Aikande Makere akizungumza jambo na wanahabari mara baada ya kufika katika Taasisi ya Tiba ya Mifupa (MOI)
 Mkurungenzi Mkuu wa Kampuni ya ulinzi ya SGA Tanzania, Eric Sambu akizungumza na wanahabari mara baada ya kufika katika Taasisi  Taasisi ya Tiba ya Mifupa (MOI)
  Mkurugenzi wa huduma za Uuguzi wa Taasisi ya Tiba ya Mifupa (MOI), Flora Kimaro (kulia) akishirikiana na  Mkurungenzi Mkuu wa Kampuni ya ulinzi ya SGA Tanzania, Eric Sambu kuweka Msaada hiyo kwenye kiti cha magurudumu (Wheel chair)
 Mkurugenzi wa huduma za Uuguzi wa Taasisi ya Tiba ya Mifupa (MOI), Flora Kimaro (wa nne kulia) katika picha ya pamoja 
 Mkurungenzi Mkuu wa Kampuni ya ulinzi ya SGA Tanzania, Eric Sambu (wa kwanza kushoto) akibadilisha mawazo na Mkurugenzi wa huduma za Uuguzi wa Taasisi ya Tiba ya Mifupa (MOI), Flora Kimaro katikati na mkulia ni Meneja wa Ustawi wa Jamii na Uhusiano wa Taasisi hiyo, Jumaa Almasi
Mkurugenzi wa huduma za Uuguzi wa Taasisi ya Tiba ya Mifupa (MOI), Flora Kimaro katika picha ya pamoja (wa nne kushoto )

No comments