Header Ads

Responsive Ads Here

EVERTON IKIJINOA TAIFA KUIVAA GOR MAHIA KESHO


ev1
Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni na Michezo Prof. Elisante Ole Gabriel akizungumza jambo na Meneja wa Habari wa Timu ya Everton FC  wakati wa mazoezi ya timu hiyo katika uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam leo. Katikati ni Mkurugenzi wa Idara ya Maendeleo ya Michezo Bw. Yusuf Omar Singo.Picha na: Idara ya Habari -MAELEZO

ev3
Mchezaji Wayne Rooney wa Timu ya Everton FC ya nchini Uingereza akifanya mazoezi katika dimba la uwanja wa Taifa jijini Dar es Salam leo.
ev4ev5ev6
Wachezaji wa Timu ya Everton FC ya nchini Uingereza wakiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya mashabiki wa timu hiyo mara baada ya kumaliza mazoezi katika dinba la uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam leo.
ev7
Mchezaji Wayne Rooney wa Timu ya Everton FC ya nchini Uingereza akitoka mazoezini katika dimba la uwanja wa Taifa jijini Dar es Salam leo.
ev8
Basi lililobeba wachezaji wa Timu ya Everton ya nchini Uingereza likiwasili katika uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam kwa ajili ya mazoezi leo.
ev9
Baadhi ya viongozi wa wa Timu ya Everton ya nchini Uingereza wakishuka katika basi la timu hiyo mara baada ya kuwasili katika uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam kwa ajili ya mazoezi leo.
ev10
Wachezaji wa Timu ya Everton FC ya nchini Uingereza wakiingia katika dinba la uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam leo.
ev11
Wachezaji wa Timu ya Everton FC ya nchini Uingereza wakifanya mazoezi katika dinba la uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam leo.
ev12ev13
Wachezaji wa Timu ya Everton FC ya nchini Uingereza wakifanya mazoezi katika dinba la uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam leo.
ev14ev15
Wachezaji wa Timu ya Everton FC ya nchini Uingereza wakifanya mazoezi katika dinba la uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam leo.
ev16

No comments