Header Ads

Responsive Ads Here

Dk.Shein Akutana na Uongozi wa Bodi ya Wakurugenzi ya Shirika la Biashara la Taifa la Zanzibar (ZSTC)


unnamed
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) alipokuwa akizungumza na Uongozi wa Wizara ya  Biashara,Viwanda na Masoko na Uongozi wa Bodi ya Wakurugenzi ya Shirika la Biashara la Taifa la Zanzibar (ZSTC)pamoja na Uongozi wa Shirika la Biashara la Taifa la Zanzibar (ZSTC) katika kikao cha siku moja kilichofanyika leo ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja,

1
Mwenyekiti wa  Bodi ya Wakurugenzi ya Shirika la Biashara la Taifa la Zanzibar (ZSTC)Bw.Kassim Malik Suleiman (kushoto) na Wajumbe wengine wa Bodi hiyo wakiwa katika kikao sha siku moja na Uongozi wa Wizara ya  Biashara,Viwanda na Masoko pamoja na Uongozi waShirika la Biashara la Taifa la Zanzibar (ZSTC) chini Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani)  kilichofanyika leo ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) alipokuwa akizungumza na Uongozi wa Wizara ya  Biashara,Viwanda na Masoko na Uongozi wa Bodi ya Wakurugenzi ya Shirika la Biashara la Taifa la Zanzibar (ZSTC)pamoja na Uongozi wa Shirika la Biashara la Taifa la Zanzibar (ZSTC) katika kikao cha siku moja kilichofanyika leo ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja2
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) alipokuwa akizungumza na Uongozi wa Wizara ya  Biashara,Viwanda na Masoko na Uongozi wa Bodi ya Wakurugenzi ya Shirika la Biashara la Taifa la Zanzibar (ZSTC)pamoja na Uongozi wa Shirika la Biashara la Taifa la Zanzibar (ZSTC) katika kikao cha siku moja kilichofanyika leo ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja
3
Mwenyekiti wa  Bodi ya Wakurugenzi ya Shirika la Biashara la Taifa la Zanzibar (ZSTC) Bw.Kassim Malik Suleiman (kulia) alipokuwa akitoa maelezo kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) wakati wa kikao cha siku moja kilizungumzia masuala mbali mbali kuhusu  Shirika la Biashara la Taifa la Zanzibar (ZSTC) katika  ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja leo,(kushoto) Waziri wa Biashara,Viwanda na Masoko Mhe.Amina Salum Ali,[Picha na Ikulu. 04/07/2017. 

No comments