Social Icons

b

b

w

w

.

Monday, July 10, 2017

BREAKING NEWSSS…… NGELEJA ARUDISHA TRA MILIONI 40.4 ZA MGAO WA RUGEMALIRA


nge
Mbunge wa Sengerema Mh. William Ngeleja  yuko Idara ya Habari Maelezo sasa akizungumza kuhusu kurudisha pesa zote  Mil 40 alizopewa na Mzee Rugemalila,  amesema tayari  amerudisha TRA, Sh40.4 milioni alizokuwa amepewa na mfanyabiashara James Rugemalira-Taarifa zaidi juu ya habari hii tutawaletea baadae.

No comments:

Post a Comment