Header Ads

Responsive Ads Here

BENKI YA AZANIA YAKARIBISHA WANANCHI KATIKA BANDA LAO KWENYE MAONYESHO YA SABASABA JIJINI DAR ES SALAAM


JIBREA1
Mkuu wa kitengo cha Maendeleo ya Biashara Benki Benki ya  Azania , Othman Jibrea kulia  akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya Wafanyakazi wenzake katika banda la Benki hiyo kwenye maonyesho ya Biashara ya Kimataifa ya Sabasaba yanayoendelea katika viwanja vya J.K.Nyerere Barabara ya Kilwa jijini Dar es salaam.


Benki ya Azania  inawakaribisha wananchi mbalimbali wanaotembelea katika maonyesho ya Sabasaba wafike kwenye banda hilo lililopo Namba 49 kwenye ukumbi wa Sabasaba Hall ili kupata ufafanuzi na maelezo ya huduma mbalimbali zinazotolewa na Benki ya Azania.
JIBREA2

No comments