Header Ads

Responsive Ads Here

BANDA LA AZANIA GROUP LATIA FORA KWA BIDHAA BORA ZA NGANO MAONESHO YA 41 YA BIASHARA YA DAR ES SALAAM

 Wananchi wakitoka na kuingia Banda la Azania Group lenye Bidhaa Bora za Ngano.

 Meneja Mauzo wa Azania Group,Nife Abubakar Al-Mahmood,akiwaongoza wananchi kuangalia bidhaa mbalimbali zilizopo ndani ya Banda hilo.
 Meneja Mauzo wa Azania Group,Nife Abubakar Al-Mahmood,akiwaongoza wananchi kuangalia bidhaa mbalimbali zilizopo ndani ya Banda hilo
 Meneja Mauzo wa Azania Group,Nife Abubakar Al-Mahmood,akiwaongoza wananchi kuangalia bidhaa mbalimbali zilizopo ndani ya Banda hilo
 Meneja Mauzo wa Azania Group,Nife Abubakar Al-Mahmood,akiwaongoza wananchi kuangalia bidhaa mbalimbali zilizopo ndani ya Banda hilo
 Mfanyakazi wa Azania Group akionesha Bidhaa ndani ya Banda.
 Mpishi Mkuu wa Azania Group akipata chai na vitafunwa alivyovitengeneza,Maandazi na Keki Bora zaidi.Vitafunwa hivyo vinapatikana katika Banda la Azania Group bure ukiingia utapata. 
 Mtaalamu wa kuchoma maandazi akiwa kazini.
 Ofisa wa Viwango wa Azania Group,Shela Nicodemus (kulia) akiwaelezea wananchi ubora wa Bidhaa za Azania Group waliotembelea Banda hilo.
 Mtaalamu wa Mapishi ya Mikate na Keki wa Azania group,Ayoub Iddy (kushoto) akiwaonjesha vitu alivyotengeneza.
 Mafuta yenye ubora yanapatikana Azania Group viwanja vya Sabasaba.
 Mtaalamu wa Mapishi ya Mikate na Keki wa Azania group,Ayoub Iddy,akitoa keki katika Oveni tayari kwa kuliwa.
 Ofisa mauzo ndugu saidi akitoa somo kwa wateja waliotembelea Banda la Azania Group Sabasaba.
 Wananchi ndani ya Banda la Azania Group.
  Wananchi ndani ya Banda la Azania Group
Wananchi wakitoka ndani ya Banda la Azania Group baada ya kula keki na Maandazi bora wakiwa na furaha.KARIBUNI BANDA LA AZANIA GROUP UWANJA WA SASABASA.

No comments