Header Ads

Responsive Ads Here

ZANTEL YAFUTURISHA WATEJA NA WAFANYAKAZI WAKE ZANZIBAR


unnamed
Ofisa Mauzo kwa wateja wakubwa wa Zantel, Salum Ally Said (kushoto) akiwa pamoja na mteja wa Kampuni hiyo wakati wa kupata futari iliyoandaliwa kwa ajili ya wateja wa Zantel mwishoni mwa juma mjini Unguja-Zanzibar.

1
Wafanyakazi wa Zantel kwa upande wa Zanzibar wakimsikiliza kwa makini Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni hiyo Benoit Janin (hayupo pichani) wakati wa kupata futari iliyoandaliwa kwa ajili ya wafanyakazi wa Zantel mwishoni mwa juma mjini Unguja-Zanzibar.
2
Mkurugenzi Mkuu wa Zantel, Benoit Janin akizungumza na wafanyakazi wa Kampuni hiyo wa upande wa Zanzibar wakati wa kupata futari iliyoandaliwa kwa ajili yao  mwishoni mwa juma mjini Unguja-Zanzibar.
3
Mkuu wa Zantel-Zanzibar, Mohamed Khamis Mussa maarufu kwa jina la Baucha akizungumza katika hafla ya kupata futari iliyoandaliwa kwa ajili ya wafanyakazi wa Kampuni hiyo mwishoni mwa juma mjini Unguja-Zanzibar.
4
Mkuu wa Zantel-Zanzibar, Mohamed Khamis Mussa maarufu kwa jina la Baucha (Kulia) na Mkuu wa huduma za Ezypesa Zantel, Shinuna Kassim (katikati) wakifurahia jambo na mteja wa Zantel katika hafla ya kupata futari iliyoandaliwa na Kampuni hiyo mwishoni mwa juma mjini Unguja-Zanzibar.
5
Mkuu wa Zantel-Zanzibar, Mohamed Khamis Mussa maarufu kwa jina la Baucha (Katikati) akipata futari na baadhi ya wateja wa Kampuni hiyo katika hafla iliyoandaliwa na Kampuni hiyo mwishoni mwa juma mjini Unguja-Zanzibar.

No comments