Header Ads

Responsive Ads Here

YANGA YAANZA KUFURU,YASAJILI BEKI KISIKI WA ZANZIBAR


3
Mabingwa mara tatu mfululizo wa Ligi kuu ya Vodacom Tanzania bara ‘VPL’, Yanga SC, wameanza kufuru ya usajili baada ya kunasa beki kisiki toka visiwani Zanzibar

Mlinzi mahiri wa Timu ya Taifa ya Jang’ombe ya Zanzibar, Abdallah Haji Shaibu maarufu kwa jina la “Ninja” amesaini mkataba wa miaka miwili (2) kuichezea Yanga.
Pichani, katibu mkuu wa Yanga, Charles Mkwasa (kushoto) akimsainisha leo Abdallah Haji (kulia) ofisini kwake Makao makuu ya Yanga, Mtaa wa Jangwani, Kariakoo, Dar es Salaam.

No comments