Header Ads

Responsive Ads Here

Weusi waungana na wasanii wengine ku-UNLOCKS CASTLE LITE julai 22 viwanja vya Leaders


weu1
Kundi la weusi wakiwa wamepozi na  Meneja Masoko wa TBL Idara ya Kuunganisha Wateja Afrika Mashariki, George Kavishe juzi usiku, mara baada ya kutangazwa kushiriki tamasha kubwa la  CASTLE LITE UNLOCKS litakalofanyika  julai 22 viwanja vya Leaders jijini Dar Es Salaam
weu2
Kundi la weusi wakiwa wamepozi na mashabiki juzi usiku, mara baada ya kutangazwa kushiriki tamasha kubwa la  CASTLE LITE UNLOCKS litakalofanyika  julai 22 viwanja vya Leaders jijini Dar Es Salaam
weu4
Kundi la weusi wakiwa wamepozi  kwa picha  juzi usiku, mara baada ya kutangazwa kushiriki tamasha kubwa la  CASTLE LITE UNLOCKS litakalofanyika  julai 22 viwanja vya Leaders jijini Dar Es Salaam

No comments