Header Ads

Responsive Ads Here

Waziri wa Mambo ya Nje wa Norway ahudhuria Warsha ya GESI iliyoandaliwa na Kampuni ya Statoil jijini Dar Es Salaam


JAGE1
Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Mhe. Charles Mwijage akiongea na wadau mbalimbali wa GESI kwenye warsha iliyoandaliwa na kampuni ya Satoil  kwenye Hotel Hyatt Regency jijini Dar Es Salaam jana
.
JAGE2
Waziri wa Mambo ya Nje wa Norway, Mhe. Borge Brende akiongea na wadau mbalimbali wa GESI kwenye warsha iliyoandaliwa na kampuni ya Satoil  jijini Dar Es Salaam leo.
JAGE3
Meneja Mkazi wa Statoil Tanzania AS, Oystein Michelsen akiongea na wadau mbalimbali wa GESI kwenye warsha lililoandaliwa na kampuni ya Satoil  jijini Dar Es Salaam leo.
JAGE4
Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Statoil Tanzania , Genevieve Kasanga akiongoza warsha   ya GESI
JAGE5
Wadau mbalimbali waliohudhuria  kwenye warsha
JAGE6JAGE7
Wadau mbalimbali waliohudhuria  kwenye warsha
JAGE8JAGE9JAGE10
Picha ya pamoja mara baada ya warsha.
JAGE11
Waziri wa Mambo ya Nje wa Norway, Mhe. Borge Brende akizungumza na wanahabari.
JAGE12
Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Mhe. Charles Mwijage akibadilishana mawazo na wadau.
JAGE13
Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Mhe. Charles Mwijage akizungumza na wanahabari.

No comments