Header Ads

Responsive Ads Here

WAZIRI MWIJAGE AFANYA ZIARA YA KUZUNGUKIA MAABARA ZA UJENZI KATIKA MAJENGO YA SHIRIKA VIWANGO TANZANIA (TBS)


unnamed
Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Bwana Charles Mwijage (katikati) akiwa katika ziara ya kuzungukia maabara za ujenzi katika majengo ya Shirika la Viwango Tanzania (TBS) ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya siku ya ithibati duniani jijini Dar es Salaam jana. Wa kwanza kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa TBS, Profesa Egid Mubofu na wa kwanza kulia ni Mwenyekiti Bodi ya Wakurugenzi TBS, Profesa Makenya Maboko.

1
Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Bwana Charles Mwijage akasisitiza jambo kwa wafanyakazi wa Shirika la Viwango Tanzania (TBS) pamoja na wadau wa shirika hilo ndani ya moja ya maabara za kupima vifaa vya ujenzi ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya siku ya ithibati duniani jijini Dar es Salaam jana.
2
Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Bwana Charles Mwijage akasisitiza jambo kwa wafanyakazi wa Shirika la Viwango Tanzania (TBS) pamoja na wadau wa shirika hilo katika eneo la kuhifadhi vilainishi vya mitambo ndani ya majengo ya shirika hilo ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya siku ya ithibati duniani jijini Dar es Salaam jana.
3
Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Bwana Charles Mwijage akitoa maelekezo kwa moja ya watendaji wa maabara ya kupima vifaa vya ujenzi katika jingo la Shirika la Viwango Tanzania (TBS), wa kwanza kulia ni Mkurugenzi Upimaji na Huduma ya Vifungashio TBS, Bibi Agness Mneney na Mkurugenzi Mtendaji wa shirika hilo Profesa Egid Mubofu (wa pili kulia), ziara ya waziri ni sehemu ya maadhimisho ya siku ya ithibati duniani jijini Dar es Salaam jana.

No comments