Header Ads

Responsive Ads Here

Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa Majaliwa afungua ofisi za TRA, Wilaya ya Chato, mkoa wa Geita


CHATOZ1
Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa Majaliwa akikata utepe kama ishara ya kufungua jengo jipya la ofisi ya TRA, Wilaya ya Chato, Mkoani Geita katika ufunguzi uliofanyika leo mjini Chato.

CHATOS2
Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa Majaliwa akihutubia wananchi wa Chato wakati wa ufunguzi wa jengo la TRA wilayani humo mkoani Geita leo. CHATOS3
CHAT1
Kamishna Mkuu wa TRA Charles Kichere akitolea maelezo ya kina kwa Waziri Mkuu Mh. Kassim Majaliwa namna jengo la ofisi ya TRA Chato litakavyoweza kuchochea ukusanyaji wa mapato katika Wilaya ya Chato.
CHAT2
Mhe. Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akitoa maagizo kwa watendaji wa TRA mara baada ya kupata  maelezo ya jengo la ofisi ya TRA kutoka Meneja wa TRA wilaya ya Chato Abdallah Mtumwa 
CHAT3
Kamishna Mkuu wa TRA Charles Kichere akitoa maelezo ya mradi wa ujenzi wa ofisi ya TRA katika uzinduzi wa ofisi hiyo uliofanyika leo katika wilaya ya Chato, mkoa wa Geita

No comments