Header Ads

Responsive Ads Here

WAZIRI KAIRUKI AFUNGUA SEMINA YA TAKWIMU HURIA


unnamed
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Utumishi na Utawala Bora Mhe. Angela Kairuki akizungumza na wadau wa takwimu wakati wa semina ya Takwimu Huria iliyofanyika katika ukumbi wa COSTECH jijini Dar es Salaam. Semina hiyo iliandaliwa na Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) kwa kushirikiana na Benki ya Dunia Tanzania.

1
Mkurugenzi Mkuu wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) akizungumza na wadau wa takwimu wakati wa semina ya Takwimu Huria iliyofanyika katika ukumbi wa COSTECH jijini Dar es Salaam. Semina hiyo iliandaliwa na Ofisi ya Taifa ya Takwimu kwa kushirikiana na Benki ya Dunia Tanzania.
2
Mkurugenzi wa Usimamizi wa Huduma za Umma na Utendaji kutoka Benki ya Dunia Tanzania  akizungumza na wadau wa takwimu wakati wa semina ya Takwimu Huria iliyofanyika katika ukumbi wa COSTECH jijini Dar es Salaam. Semina hiyo iliandaliwa na Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS)  kwa kushirikiana na Benki ya Dunia Tanzania.
3
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Utumishi na Utawala Bora Mhe. Angela Kairuki akielezea umuhimu wa takwimu kwa waandishi wa habari mara baada ya kufungua semina ya Takwimu Huria iliyofanyika katika ukumbi wa COSTECH jijini Dar es Salaam. Semina hiyo iliandaliwa na Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) kwa kushirikiana na Benki ya Dunia Tanzania.

No comments