Header Ads

Responsive Ads Here

WATANZANIA WAISLAMU NCHINI MAREKANI WASHEREHEKEA SIKUKUU YA EID EL FITR

Watanzania Waislam waishio DMV, Marekani wakijumuika pamoja na Waislam wenzao DMV kwenye sala ya Eid el Fitr iliyofanyika kwenye msikiti wa Muslim Community Center uliopo mtaa wa New Hampshire Silver Spring, Maryland, nchini Marekani leo Juni 25, 2017
Watanzania Waislam DMV wakijumuika pamoja na Waislam wenzao DMV kwenye sala ya Eiid el Fitri iliyofanyika kwenye muikiti wa Muslim Community Center uliopo mtaa wa New Hampshire Slver Spring, Maryland.

Sala ya Eid el Fitr ikiendelea.
Ukodak moment

Polisi akielekeza Magari sehemu ya maegesho siku ya Jumampili June 25, 2017 siku Waislaam Watanzania wa DMV walipojumuika pamoja na Waislam wenzao kwenye sala ya Eiid el Fitri iliyofanyika kwenye musikiti wa Muslim Community Center uliopo mtaa wa New Hampshire Slver Spring, Maryland.

No comments