Header Ads

Responsive Ads Here

WANANCHI WAJITOKEZA KUCHANGIA DAMU KATIKA KITUO CHA TAASISI YA MOYO JAKAYA KIKWETE IKIWA NI MAADHIMISHO YA SIKU YA KUCHANGIA DAMU DUNIANI


dan1
Mwanasayansi Samweli Mduma akipima kiasi cha damu ambacho ni mililita 450 iliyotolewa leo na Frank Mapunda katika kituo cha kuchangia damu cha Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) ikiwa ni maadhimisho ya siku ya kuchangia damu Dunia ambayo kaulimbiu yake  ni Changia damu, Changia sasa, Changia mara kwa mara.

dan2
Afisa Mtoa Damu   kutoka Mpango wa Taifa wa Damu  Salama Peter Chami akiangalia wingi wa damu ya  Daktari Bingwa wa Magonjwa ya Moyo Pedro  Pallangyo ambayo aliitoa katika kituo cha kuchangia damu cha Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) ikiwa ni maadhimisho ya siku ya kuchangia damu Dunia ambayo kaulimbiu yake  ni Changia damu, Changia sasa, Changia mara kwa mara.
dan3
Mwanasayansi Samweli Mduma akitafuta mshipa wa damu kwa ajili ya kumtoa damu George Marcus katika kituo cha kuchangia damu cha Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) ikiwa ni maadhimisho ya siku ya kuchangia damu Dunia ambayo kaulimbiu yake  ni Changia damu, Changia sasa, Changia mara kwa mara.
dan4
Mtoa huduma Jema Mwampashi  akipima wingi wa damu ya mmoja wa wachangia damu   aliyefika   katika kituo cha kuchangia damu cha Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI)  leo kwa ajili ya kuchangia damu  ikiwa ni maadhimisho ya siku ya kuchangia damu Dunia ambayo kaulimbiu yake  ni Changia damu, Changia sasa, Changia mara kwa mara.
Picha na JKCI

No comments