Header Ads

Responsive Ads Here

WANAFUNZI WALIOSHINDA MEDALI ZA DHAHABU MASHINDANO YA GENIOUS OLYMPION HUKO MAREKANI WAPOKEWA NA MAMA SALMA KIKWETE


Mama Salma Kikwete aliwaongoza wazazi kumpokea mwanae Rashid Jakaya Kikwete na watoto wengine kwenye uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, waliporejea nyumbani kutoka Marekani walikotwaa medali za dhahabu katika mashidnano ya uwezo kitaaluma ya Genius Olympion ambayo yalishirikisha jumla ya nchi 63 Dubiani. Wanafunzi hao kutoka shule ya sekondari ya wavulana, Feza Boys ya Kawe jijini Dar es Salaam, ni pamoja na Rashidi Jakaya Kikwete, mtoto wa Rais mstaafu Jakaya Kikwete, Abdulrazak Juma Nkamia, Mtoto wa Mtangazaji wa zamani wa redio, ambaye sasa ni Mbunge wa Chemba Mkoani Singida, Juma Nkamia, na Abdallah Rubeya.
Mama Salma aliwapongeza wanafunzi hao kwa kufanya vizuri katika mashindano hayo lakini pia kwa kuitangaza Tanzania.No comments