Header Ads

Responsive Ads Here

WAKAZI WA KIANGA WASHINDWA KUSHEREHEKEA SIKUU KATIKA ENEO LA KIWANJA CHAO BAADA YA KUJAA MAJI MCHAFU

KIW
Kiwanja  cha mpira cha Kianga Mento ambacho wananchi wanakitumia kwa sherehe za Iddi kikiwa kimejaa maji Machafu yanayo tiririka kutoka kwenye shimo liliopo pembezoni mwa uwanja huo  na kupelekea kushindwa kufanyika sherehe hizo mwaka huu.

KIW2
Shimo lililokua likichimbwa mchanga zamani likionekana kujaa  maji machafu ambayo hutiririka kwenye kiwanja cha siku kuu katika kijiji cha Kianga na kusababisha kushindwa kufanyika sherehe hizo.(Picha na Abdalla Omar Habari Maelezo Zanzibar.)

No comments