Header Ads

Responsive Ads Here

Wafanyakazi wa TBL Group walivyoadhimisha Siku ya Mazingira Duniani


-washiriki kusafisha mazingira na kupanda miti
 
Katika kuendeleza mkakati wake wa kutunza mazingira kampuni ya TBL Group na wafanyakazi wake kutoka viwanda vyake vilivyopo katika mikoa ya Dar es Salaam,Mwanza,Kilimanjaro,Arusha,na Mbeya wameshirikiana na serikali  na wadau wengine kuadhimisha Siku ya Mazingira Duniani .
 
Wafanyakazi wa TBL Group walishiriki katika kupanda miti,kusafisha maeneo ya mitaa mbalimbali,kutoa misaada ya vifaa vya kufanyia usafi ,kusafisha maeneo ya shule na kupata semina za mazingira kutoka wataalamu wa mazingira ikiwemo kuangalia video kuhusiana na umuhimu wa utunzaji wa mazingira.
zing1
Meneja wa kiwanda cha TBL mkoa wa Arusha,Joseph Mwaikasu akitoa salamu zake wakati wa maadhimisho ya siku ya mazingira iliyofanyika jana.
zing2
Baadhi ya wafanyakazi wa kiwanda cha TBL mkoa wa Arusha wakipanda miti katika bustani ya Themi Living Garden iliyopo jijini Arusha
zing3
Wafanyakazi wakielekea kwa TBL Arusha wakielekea katika bustani ya Themi
zing4
Meneja wa Kiwanda cha Bia (TBL) mkoani Mwanza, Marietha Mazula akitoa elimu kwa wafanyakazi wa kiwanda hicho kuhusu mazingira baada ya kutoka kupanda miche 300 ya miti katika gereza la Butimba
zing5
Baadhi ya wafanyakazi wa TBL Mwanza katika picha ya pamoja baada ya zoezi la kupanda miti
zing6
Wafanyakazi wa Kiwanda cha TBL Ilala nao hawakubaki nyuma katika kuadhimisha siku ya Mazingira
zing7
Wafanyakazi wa Kiwanda cha TDL nao pia walishiriki katika usafi mitaani
zing8zing9zing10
Wafanyakazi wa Kiwanda cha TDL nao pia walishiriki katika usafi mitaani
zing11zing12zing13zing14

No comments