Header Ads

Responsive Ads Here

VIDEO:WAKAZI WA MJI WA SONGEA WAJITOKEZA KWA WINGI KUCHANGIA DAMU

Kila ifikapo juni 14 ya kila mwaka ni siku ya kuchangia damu kwa hiari ,katika mkoa wa ruvuma Wakazi wa manispaa ya songea wamejitokeza kwa wingi kuchangia damu Lakini licha ya wananchi kujitokeza kwa wingi manispaa ya MANISPAA YA SONGEA yakabiliwa na uhaba wa damu katika hospitali ya RUFAA YA MKOA WA SONGEA,KITUO CHA AFYA MJIMWEMA kama anavobainisha msimamizi wa shughuli za mahabara MAGRETHI NGONYANI. HABARI KAMILI HII HAPA VIDEO YAKE.
Virus-free. www.avast.com Attachments area Preview YouTube video WAKAZI WA MJI WA SONGEA WAJITOKEZA KUCHANGIA DAMU WAKAZI WA MJI WA SONGEA WAJITOKEZA KUCHANGIA DAMU

No comments