Header Ads

Responsive Ads Here

VIDEO – “RAIS AMETUNGUA VICHAKA” MWIGULU NCHEMBA


Ikiwa zimepita siku chache tangu Rais Magufuli kuzuia watu kuwahusisha marais wawili wastaafu wa Tanzania Jakaya Kikwete na Benjamin Mkapa katika sakata la mchanga wa dhahabu maarufu kama makinikia kwani katika ripoti zote mbili hakuna sehemu ambayo imewataja wastaafu kuhusika.

Waziri wa Mambo ya ndani na Mbunge wa jimbo la Iramba Magharibi Mkoani Singida, Mwigulu Nchemba amesema Wezi hao walitafuta kichaka cha kutaja viongozi waliostafu ili kuizuia serikali iache kufatilia sakata hilo, “Viongozi wetu hawajawai kuwa mwakala wa wale wanao tuibia mawakala tumewabaini ni wale wanao watetea wezi.” Tumekusogezea Video ya Habari hiyo.

No comments