Header Ads

Responsive Ads Here

VIDEO: DKT ANSIGAR STUFFE OSB AFUNGUA MRADI WA MAJI WENYE THAMANI YA SHILINGI MILIONI 60 KATIKA KIJIJI CHA LIGANGA

Asilimia kubwa ya mwili wa binadamu unategemea maji lakini maji yamekuwa tatizo kubwa kwa jamii yetu ya Tanzania ,Ni miaka 29 sasa imepita tangu mkurugenzi wa hospitali ya peramiho ambaye pia ni daktari bruda ANSAGAR STUFFE OSB kuhakikisha jamii ya taarafa ya ruvuma inaondokana na huba wa maji. DKT ANSAGAR AFUNGUA MRADI WA MAJI WENYE THAMANI YA SHILINGI MILION 60 KATIKA KIJIJI CHA LIGANGA DKT ANSAGAR AFUNGUA MRADI WA MAJI WENYE THAMANI YA SHILINGI MILION 60 KATIKA KIJIJI CHA LIGANGA

No comments