Header Ads

Responsive Ads Here

SIMBA WAKABANA KOO UMAKAMU WA RAIS TFF,MALINZI KUCHUANA NA MSAIDIZI WAKE URAIS KAZI IPO


images
Uchaguzi wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), umepangwa kufanyika Agosti 12, mwaka huu mjini Dodoma. 

Tayari wagombea wameanza kuchukua fomu na wamekuwa wakijitokeza kwa kasi kubwa.
Kinachoshangaza zaidi ni idadi kubwa ya wale wanaowania nafasi ya urais inayoshikiliwa na Jamal Malinzi.

Waliojitokeza ni watatu hadi sasa wakionyesha kwamba wanaitaka nafasi hiyo ili kufanya sahihi zaidi.
Wadau hao wamejitokeza kuchukua fomu hizo kwa kipindi cha siku mbili tu, yaani juzi Ijumaa na jana Jumamosi katika ofisi za TTF, Karume jijini Dar es Salaam.

URAIS

Jamal Malinzi
Imani Madega
Wallace Karia
Fredrick Masolwa
MAKAMU RAIS
Mulamu Nghambi
Michael Wambura
Geofrey Nyange

WAJUMBE WA KAMATI YA UTENDAJI

Soloum Chama
Ephraim Majinge
Elias Mwanjala
Saleh Alawi
Kaliro Samson
Vedastus Lufano
Kenneth Pesambili
Mbasha Matutu
Samwel Daniel
Dunstan Mkundi
Athuman Kambi
Shaffi Dauda
Golden Sanga
Charles Mwakambaya
Benista Rugola.
Thabit Kandoro
Goodluck moshi
James Mhagama 
Husen Mwamba
Sarah Chao
Isaa bukuku
Stewat Masima
Emmanuel Ashery
Abdul Sauko
Musa Sima 
Stanslaus Nyongo
Ayoub Nyenzi
John Kadutu
Baraka Mazengo
Khalid Mohamed 
Mohamed Aden
Cyprian Kuyava
Saleh Abdul

IMETOLEWA NA LEO 
Alfred Lucas
Ofisa Habari TFF

No comments