Header Ads

Responsive Ads Here

SHIRIKA LA BRAC LAKABIDHI VIFAA VYA MILIONI 153 KWA WASICHANA WAJASIRIAMALI 700 TANGA


Katibu
Tawala wa Mkoa wa Tanga,Mhandisi Zena Saidi akizungumza wakati wa halfa
ya shirika la BRAC kuwakabidhi vifaa vyenye thamani ya milioni 153
wasichana wajasiriamali kutoka Mkoani Tanga kulia ni Meneja Mipango wa
Elimu kutoka BRAC Tanzania Amina Shabani kushoto ni Diwani wa Kata ya
Makorora Omari Mzee
Diwani wa Kata ya Makorora Omari Mzee
akizungumza katika Halfa hiyo kulia ni Katibu Tawala wa Mkoa wa
Tanga,Mhandisi Zena Saidi

Meneja Mipango wa Elimu kutoka BRAC
Tanzania Amina Shabani akizungumza katika halfa hiyo

Meza kuu wakifuatilia matukio mbalimbali
katika halfa hiyo
 Mmoja kati ya wasichana wanaoishi
kwenye mazingira magumu ambao wamejengewa uwezo na kupata fursa ya
kujiendelea kukuza na kujiendeleza kiuchumi Aisha Mohamed akiishuru Brac
kwa kuwawezesha ili waweze kukabiliana na maisha bnaada ya kupatiwa
mafunzo
 Baadhi ya wananchi na wazazi wa
wasichana wakifuatilia matukio mbalimbali ya makabidhiano vifaa vyenye
thamani ya sh.,milioni 153 wasichana wajasiriamali 700 kutoka mkoani
Tanga ili waweze kujikwamua kiuchumi
 Baadhi ya wananchi na
wazazi wa wasichana
wakifuatilia matukio mbalimbali ya makabidhiano vifaa vyenye thamani ya
sh.,milioni 153 wasichana wajasiriamali 700 kutoka mkoani Tanga ili
waweze kujikwamua kiuchumi
Walimu ambao walikuwa
wakiwafundisha wasichana hao masuala mbalimbali ya ujasiriamali wakiwa
kwenye picha ya pamoja wakati wa halfa hiyo

 Katibu Tawala wa Mkoa wa
Tanga,Mhandisi Zena Saidi katika akiwa kwenye picha ya pamoja na
wasichana wajasiriamali 700 mkoani hapa ambao walikabidhiwa vifaa vyenye
thamani ya milioni 153 ambavyo ni vyerahani 90,mashine za kukaushia
nywele 90,vifaa vya ufugaji wa kuku,vifaa vya kilimo,vifaa vya
upishi,vifaa vya kwa ajili ya utengenezaji wa batiki na mabegi ya
kike
 Katibu Tawala wa Mkoa wa
Tanga,Mhandisi Zena Saidi
katika akiwa kwenye picha ya pamoja na wasichana wajasiriamali 700
mkoani hapa ambao walikabidhiwa vifaa vyenye thamani ya milioni 153
ambavyo ni vyerahani 90,mashine za kukaushia nywele 90,vifaa vya ufugaji
wa kuku,vifaa vya kilimo,vifaa vya upishi,vifaa vya kwa ajili ya
utengenezaji wa batiki na mabegi ya kike
 Katibu Tawala wa Mkoa wa Tanga,Mhandisi Zena Saidi
katika akiwa kwenye picha ya pamoja na wasichana wajasiriamali 700
mkoani hapa ambao walikabidhiwa vifaa vyenye thamani ya milioni 153
ambavyo ni vyerahani 90,mashine za kukaushia nywele 90,vifaa vya ufugaji
wa kuku,vifaa vya kilimo,vifaa vya upishi,vifaa vya kwa ajili ya
utengenezaji wa batiki na mabegi ya kike
 Katibu Tawala wa Mkoa wa
Tanga,Mhandisi Zena Saidi kushoto akimkabidhi cherehani cha kusonea nguo
Aisha Mohamed wakati alipokwenda kuwakabidhi vifaa vyenye thamani ya
sh.milioni 153 wasichana wajasiriamali 700 vilivyotolewa na Shirika la
BRAC kwa wasichana waliopata mafunzo ya ujasiriamali na shirika
hilo
 Katibu Tawala wa Mkoa wa
Tanga,Mhandisi Zena Saidi kushoto akimkabidhi mashine ya kukaushia
nywele mwanafunzi Thabituwa Shabani wakati wa halfa hiyo kulia ni
Meneja Mipango wa Elimu kutoka BRAC Tanzania Amina Shaban
  Katibu Tawala wa Mkoa wa
Tanga,Mhandisi Zena Saidi katikati akikabidhi mabegi ya kike kwa
wasichana 700 wa mkoa wa Tanga kushoto ni 
Meneja Mipango wa Elimu kutoka BRAC
Tanzania Amina Shabani

No comments