Header Ads

Responsive Ads Here

Samsung yaendesha kampeni ya ‘Nunua,Sajili na Ushinde’


SUM1
Bi Lailatu Jethwa Meneja Mauzo wa kampuni ya Samsung (kulia) akimkabidhi zawadi ya Friji Bw Manufred Makota mwakilishi wa Joash Ndaga wa Dodoma, mshindi wa bahati nasibu ya ‘Nunua, Sajili na Ushinde’. Droo hiyo ya bahati nasibu yenye lengo la kupambana na bidhaa feki nchini  ilifanyika jana makao makuu ya Samsung jijini Dar es salaam.

SUM2
Bi Jacqline Costantino (kushoto) mshindi wa bahati nasibu ya ‘Nunua, Sajili na Ushinde’ akikabidhiwa zawadi ya friji na Meneja mauzo wa kampuni ya Samsung Bi Lailatu Jethwa. Droo hiyo ya bahati nasibu yenye lengo la kupambana na bidhaa feki nchini  ilifanyika jana makao makuu ya Samsung jijini Dar es salaam.
SUM4
Meneja mauzo wa kampuni ya Samsung Lailatu Jethwa (kulia ) akimkabidhi zawadi ya televisheni Bw Emanuel Stanphod Mwakingwe, mshindi wa bahati nasibu ya ‘Nunua, Sajili na Ushinde’. Droo hiyo ya bahati nasibu yenye lengo la kupambana na bidhaa feki nchini  ilifanyika jana makao makuu ya Samsung jijini Dar es salaam.
SUM5
Meneja mauzo wa kampuni ya Samsung Lailatu Jethwa (kulia) akimkabidhi zawadi ya televisheni Bw Moses Modest mwakilishi wa Jackline Morogosho, mshindi wa bahati nasibu ya ‘Nunua, Sajili na Ushinde’. Droo hiyo ya bahati nasibu yenye lengo la kupambana na bidhaa feki nchini  ilifanyika jana makao makuu ya Samsung jijini Dar es salaam.
SUM6
Meneja mauzo wa kampuni ya Samsung Lailatu Jethwa (kulia) akimkabidhi zawadi ya televisheni Bw Lusinde Julius Njelwa, mshindi wa bahati nasibu ya ‘Nunua, Sajili na Ushinde’. Droo hiyo ya bahati nasibu yenye lengo la kupambana na bidhaa feki nchini  ilifanyika jana makao makuu ya Samsung jijini Dar es salaam.
SUM7
Bi Lailatu Jethwa Meneja Mauzo wa kampuni ya Samsung (kulia) akimkabidhi zawadi ya maicrowave Bi Hazina A Samwel, mshindi wa  bahati nasibu ya ‘Nunua, Sajili na Ushinde’. Droo hiyo ya bahati nasibu yenye lengo la kupambana na bidhaa feki nchini  ilifanyika jana makao makuu ya Samsung jijini Dar es salaam.
SUM3
Bi Lailatu Jethwa Meneja Mauzo wa kampuni ya Samsung (kulia) akiwa katika picha ya pamoja na washindi wa bahati nasibu ya ‘Nunua, Sajili na Ushindi’. Kushoto ni Meneja bidhaa wa kampuni ya Samsung Bw Elius Mushi.

No comments