Header Ads

Responsive Ads Here

RAIS DKT MAGUFULI AKUTANA NA MWENYEKITI MTENDAJI WA BODI YA KAMPUNI YA BARRICK YA CANADA


unnamed
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipeana mikono na Mwenyekiti wa Barrick Gold Corporation ya Canada Profesa John L. Thornton mara baada ya mazungumzo yao Ikulu jijini Dar es salaam leo Juni 14, 2017. Kulia ni balozi wa Canada nchini Mhe. Ian Myles
1
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimsindikiza  Mwenyekiti wa Barrick  Gold Corporation ya Canada Profesa John L. Thornton baada ya mazungumzo yao Ikulu jijini Dar es salaam leo Juni 14, 2017. Kushoto ni Waziri wa Sheria na Katiba Profesa Palamagamba kabudi
2
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipeana mikono na Balozi wa Canada nchini Mhe Ian Myles na Waziri wa Sheria na Katiba Profesa palamagamba kabudi akipeana mikono na Mwenyekiti wa  Barrick Gold Corporation ya Canada Profesa John L. Thornton baada ya mazungumzo yao Ikulu jijini Dar es salaam leo Juni 14, 2017. Kushoto ni Waziri wa Sheria na Katiba Profesa Palamagamba kabudi
3
Mwenyekiti wa  Barrick Gold Corporation ya Canada Profesa John L. Thornton akiongea na wanahabari baada ya mazungumzo na rais Dkt Magufuli Ikulu jijini Dar es salaam leo Juni 14, 2017. Kushoto ni Waziri wa Sheria na Katiba Profesa Palamagamba Kabudi
4
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongea na wanahabari baada ya mazungumzo yake na  Mwenyekiti wa Barrick  Gold Corporation ya Canada  (kushoto) Ikulu jijini Dar es salaam leo Juni 14, 2017. Kulia  ni Balozi wa Canada nchini Mhe. Ian Myles na  Waziri wa Sheria na Katiba Profesa Palamagamba Kabudi
8
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipeana mikono na Balozi wa Canada nchini Mhe Ian wakiwa na  Mwenyekiti wa  Barrick Gold Corporation ya Canada Profesa John L. Thornton baada ya mazungumzo yao Ikulu jijini Dar es salaam leo Juni 14, 2017. Kushoto ni Waziri wa Sheria na Katiba Profesa Palamagamba kabudi
9
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe akiwa na Waziri wa Sheria na Katiba Profesa Palamagamba kabudi  baada ya mazungumzo na Mwenyekiti wa  Barrick Gold Corporation ya Canada Profesa John L. Thornton  Ikulu jijini Dar es salaam leo Juni 14, 2017. 
10
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongea na  Mwenyekiti wa Barrick  Gold Corporation ya Canada Profesa John L. Thornton baada ya mazungumzo yao Ikulu jijini Dar es salaam leo Juni 14, 2017. wakiwa na  Waziri wa Sheria na Katiba Profesa Palamagamba Kabudi na Balozi wa Canada nchini Mhe. Ian Myles 
11
Balozi wa Canada nchini Mhe. Ian Myles akiongea na wanahabari baada ya mazungumzo baina ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na  Mwenyekiti wa Barrick  Gold Corporation ya Canada Profesa John L. Thornton  Ikulu jijini Dar es salaam leo Juni 14, 2017.
12
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongea na Mwenyekiti wa Barrick  Gold Corporation ya Canada Profesa John L. Thornton baada ya mazungumzo yao Ikulu jijini Dar es salaam leo Juni 14, 2017. Pamoja nao ni Balozi wa Canada nchini Mhe. Ian Myles na  Waziri wa Sheria na Katiba Profesa Palamagamba Kabudi
PICHA ZOTE NA IKULU
……………………………………………………………….BARRIK

No comments