Header Ads

Responsive Ads Here

RAIS DK. SHEIN ATUNUKU NISHANI ZANZIBAR


NIS1
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohanmed Shein (kushoto) akimtunuku Nishani ya Mapinduzi kwa Viongozi na Wananchi wenye Sifa Maalum Spika Mstaafu wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe.Pamdu Ameir Kificho katika hafla ya Sherehe Maalum ya Kutunuku nishani mbali mbali iliyofanyika leo katika Viwanja vya Ikulu Mjini Unguja,[Picha na Ikulu.] 29/06/2017.

NIS2
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohanmed Shein (katikati) akitunuku Nishani ya Mapinduzi kwa Viongozi na Wananchi wenye Sifa Maalum (pichani) Bw.Aboud Talib Aboud akitukiwa nishani  katika hafla ya Sherehe Maalum ya Kutunuku nishani mbali mbali iliyofanyika leo katika Viwanja vya Ikulu Mjini Unguja,[Picha na Ikulu.] 29/06/2017.
NIS3
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohanmed Shein (kulia) akitunuku Nishani ya Mapinduzi kwa Viongozi na Wananchi wenye Sifa Maalum (pichani) Dk.Msimu Abdulrahman  Hassan akitunukiwa Nishani  katika hafla ya Sherehe Maalum ya Kutunuku nishani mbali mbali iliyofanyika leo katika Viwanja vya Ikulu Mjini Unguja,[Picha na Ikulu.] 29/06/2017.
NIS4
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohanmed Shein (kulia) akitunuku Nishani ya Mapinduzi kwa Viongozi na Wananchi wenye Sifa Maalum (pichani) Bi.Mastura Ali Salim akitunukiwa  Nishani  katika hafla ya Sherehe Maalum ya Kutunuku nishani mbali mbali iliyofanyika leo katika Viwanja vya Ikulu Mjini Unguja,[Picha na Ikulu.] 29/06/2017.
NIS5
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohanmed Shein (kulia) akitunuku Nishani ya Mapinduzi kwa Viongozi na Wananchi wenye Sifa Maalum (pichani) Jaji Mkusa Issac Abraham Sepetu akipokea Nishani kwa kwa niaba Mrehemu Baba yake  Issac Abraham Sepetu  katika hafla ya Sherehe Maalum ya Kutunuku nishani mbali mbali iliyofanyika leo katika Viwanja vya Ikulu Mjini Unguja,[Picha na Ikulu.] 29/06/2017.
NIS6
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohanmed Shein (kulia) akimtunuku Nishani ya Utumishi Uliotukuka  Bw.Mohamed Fakih Mohamed akiwa ni Mtumishi  Mstaafu wa Seruikali ya Mapinduzi,pia Mwenyekiti wa Tume ya Utumishi Serikalini, katika hafla ya Sherehe Maalum ya Kutunuku nishani mbali mbali iliyofanyika leo katika Viwanja vya Ikulu Mjini Unguja,[Picha na Ikulu.] 29/06/2017.
NIS8
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohanmed Shein (kulia) akimtunuku Nishani ya Utumishi Uliotukuka  Bw.Mohamed Ahmed Mohamed akiwa ni Mtumishi  Mstaafu wa Seruikali ya Mapinduzi katika hafla ya Sherehe Maalum ya Kutunuku nishani mbali mbali iliyofanyika leo katika Viwanja vya Ikulu Mjini Unguja,[Picha na Ikulu.] 29/06/2017.
NIS9
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohanmed Shein (kulia) akimtunuku Nishani ya Utumishi Uliotukuka  Kanali  Ali Mtumweni Hamadi akiwa ni Mtumishi  wa Idara Maalum za SMZ  katika hafla ya Sherehe Maalum ya Kutunuku nishani mbali mbali iliyofanyika leo katika Viwanja vya Ikulu Mjini Unguja,[Picha na Ikulu.] 29/06/2017.
NIS10
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohanmed Shein (kulia) akimtunuku Nishani ya Utumishi Uliotukuka  Senior Assistance Commissioner wa Mafunzo Kadi Sulaiman Issa  akiwa ni Mtumishi Msataafu wa Idara Maalum za SMZ  katika hafla ya Sherehe Maalum ya Kutunuku nishani mbali mbali iliyofanyika leo katika Viwanja vya Ikulu Mjini Unguja,[Picha na Ikulu.] 29/06/2017.
  NIS16
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohanmed Shein (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na Viongozi na Wananchi mara baada ya kutunuku nishani katika sherehe Maalum ya Kutunuku Nishani ya Mapinduzi,Nishani ya Utumishi Uliotukukana Nishani ya Ushujaa, hafla iliyofanyika leo katika viwanja vya Ikulu Mjini Unguja,[Picha na Ikulu.] 29/06/2017.

No comments