Header Ads

Responsive Ads Here

RAIS DK. JOHN POMBE MAGUFULI APOKEA RIPOTI YA PILI YA (MAKINIKIA) KWENYE MAKONTENA, RIPOTI YABAINI UPOTEVU MKUBWA WA FEDHA ZA SERIKALI


01
Rais Dk. John Pombe  Magufuli akipokea  ripoti ya pili ya kuchunguza athari za kiuchumi na kisheria kutoka kwa Profesa Nehemia Eliachim Osoro Mwenyekiti wa kamati Maalum ya pili ya Kuchunguza Mchanga wenye Makinikia ya Dhahabu ulioko kwenye makontena ambayo yamezuiliwa  Bandari ya Dar es salaam na maeneo mbalimbali nchini katika hafla iliyofanyika leo Ikulu  jijini Dar es salaam na kuhudhuriwa na viongozi mbalimbali wakiwemo wa Serikali, Vyama vya Siasa, Dini, Asasi za Kiraia na wawakilishi wa wachimbaji wa madini pamoja na wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama, Katikati ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanania Mh. Samia Suluhu Hassan.(PICHA NA JOHN BUKUKU-FULLSHANGWE-IKULU)
1
Rais Dk. John Pombe  Magufuli akizungumza wakati akipokea  ripoti ya pili ya kuchunguza athari za kiuchumi na kisheria kutoka kwa Profesa Nehemia Eliachim Osoro Mwenyekiti wa kamati ya pili ya Kuchunguza Mchanga wenye Makinikia ya Dhahabu ulioko kwenye makontena ambayo yamezuiliwa  Bandari ya Dar es salaam na maeneo mbalimbali nchini katika hafla iliyofanyika leo Ikulu  jijini Dar es salaam

23
Rais Dk. John Pombe  Magufuli akipokea moja ya kitabu cha  ripoti ya pili ya kuchunguza athari za kiuchumi na kisheria kutoka kwa Profesa Nehemia Eliachim Osoro Mwenyekiti wa kamati ya pili ya Kuchunguza Mchanga wenye Makinikia ya Dhahabu ulioko kwenye makontena ambayo yamezuiliwa  Bandari ya Dar es salaam na maeneo mbalimbali nchini katika hafla iliyofanyika leo Ikulu  jijini Dar es salaam, Kulia ni Waziri Mkuu Mh. Kassim Majaliwa.
4
Profesa Nehemia Eliachim Osoro Mwenyekiti wa kamati ya pili ya Kuchunguza Mchanga wenye Makinikia ya Dhahabu ulioko kwenye makontena ambayo yamezuiliwa  Bandari ya Dar es salaam na maeneo mbalimbali nchini  akikabidhi  ripoti ya pili ya kuchunguza athari za kiuchumi na kisheria  kwa Kaimu Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe. Prof. Ibrahim Juma katika hafla iliyofanyika leo Ikulu  jijini Dar es salaam
5
Rais Dk. John Pombe Magufuli akishuhudia wakati Profesa Nehemia Eliachim Osoro Mwenyekiti wa kamati ya pili ya Kuchunguza Mchanga wenye Makinikia ya Dhahabu ulioko kwenye makontena ambayo yamezuiliwa  Bandari ya Dar es salaam na maeneo mbalimbali nchini  akikabidhi  Kitabu cha ripoti ya pili ya kuchunguza athari za kiuchumi na kisheria  kwa Makamu wa Rais Mh. Samia Suluhu Hassan Ikulu leo jinini Dar es slaam.
6
Rais Dk. John Pombe  Magufuli akiangalia moja ya kitabu chenye ripoto hiyo mara baada ya kukabidhiwa leo wanaoshuhudia kushoto ni Makamu wa Rais Mh. Samia Suluhu Hassan na kulia ni Waziri Mkuu Mh. Kassim Majaliwa.
7
Rais Dk. John Pombe  Magufuli akionyesha ripoti hiyo mara baada ya kukabidhiwa rasmi.
8
Rais Dk. John Pombe  Magufuli akisalimiana na baadhi ya wajumbe wa kamati iliyochunguza mchanga huo.
9
Baadhi ya wakuu wa mikoa na viongozi nbalimbali waliohudhuria katika hafla hiyo.
10
Sheikh Mkuu wa Tanzania Alhaj Abukary Zubeiry Bin Ally akiomba dua kabla ya kamati hiyo kuanza kutoa ripoti yake ikulu leo.
11
Mkuu wa Kanisa la KKKT Kanda ya Mashariki na Pwani Askofu Dk Alex Malasusa akisali kabla ya kuanza kuwasilishwa kwa ripoti hiyo.
12
Baadhi ya wasanii wakiimba wimbo maalum wa kuhumiza uzalendo katika hafla hiyo.
1314
Profesa Nehemia Eliachim Osoro Mwenyekiti wa kamati ya pili ya Kuchunguza Mchanga wenye Makinikia ya Dhahabu ulioko kwenye makontena ambayo yamezuiliwa  Bandari ya Dar es salaam na maeneo mbalimbali nchiniakisoma ripoti hiyo wakati alipoiwasilisha mbele ya Rais Dk. John Pombe Magufuli.
15
Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi akitoa muongozo kabla ya kuanza kutolewa kwa ripoti hiyo.
16
Rais Dk. John Pombe  Magufuli akiwa na Makamu wa Rais Mama Samia Suluhu Hassan kushoto ni Waziri Mkuu Mh. Kassim Majaliwa wakifuatilia ripoti hiyo ilipokuwa ikiwasilishwa.
17
Rais Dk. John Pombe  Magufuli akisalimiana na wajumbe wa kamati hiyo mara baada ya kupokea ripoti hiyo.
18
Rais Dk. John Pombe  Magufuli katikati akiwa na Makamu wa Rais Mama Samia Suluhu Hassan kushoto ni Waziri Mkuu Mh. Kassim Majaliwa wakiwa katika picha ya pamoja na kamati hiyo.
19
Rais Dk. John Pombe  Magufuli katikati akiwa na Makamu wa Rais Mama Samia Suluhu Hassan kushoto ni Waziri Mkuu Mh. Kassim Majaliwa waki
20
Rais Dk. John Pombe  Magufuli katikati akiwa na Makamu wa Rais Mama Samia Suluhu Hassan kushoto ni Waziri Mkuu Mh. Kassim Majaliwa wakiwa na viongozi wa dini.
21
Rais Dk. John Pombe  Magufuli katikati akiwa na Makamu wa Rais Mama Samia Suluhu Hassan kushoto ni Waziri Mkuu Mh. Kassim Majaliwa wakiwa na wakuu wa mikoa.
22
Rais Dk. John Pombe  Magufuli katikati akiwa na Makamu wa Rais Mama Samia Suluhu Hassan kushoto ni Waziri Mkuu Mh. Kassim Majaliwa wakiwna viongozi wa vyama vya siasa.

No comments