Header Ads

Responsive Ads Here

NAIBU WAZIRI LUHAGA MPINA AKAGUA UHARIBIFU WA MAZINGIRA BUNJU BOKO TEGETA NA KEKO MWANGA

MAZING1
Naibu Waziri Mpina akimsikiliza katibu wake Bw. Daniel Sagata  kulia alipokuwa akimuonyesha tuta lililojengwa na kiwanda cha saruji cha Wazo cha Tegeta Jijini Dar es Salaam, Tuta ambalo  lilijengwa baada ya kujengwa mtaro wa kupitisha maji ya mvua yaliyokuwa yakisababisha kero ya mafuriko kwa wakazi wa maeneo jirani yaliyotaka na makorongo yaliyochimbwa na kiwanda hicho kwa lengo la kutafuta maligafi za kutengeneza saruji, kero hiyo inasemekana kupungua baada ya Naibu Waziri Mpina kuwahai kufanya ziara kiwandani hapo na kutoa maagizo.

MAZING2
Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe. Luhaga Mpina Kiongea na vijana katika eneo la Bunju A Usalama, kuhusu Karavati (halipo pichani) ambalo lilikuwa ni moja ya kero ya kuchangia mafuriko katika eneo hilo hasa katika vipindi vya mvua kutokana na uchafu wa mazingira uliopelekea karavati hilo kuziba. Naibu Waziri Mpina ametembelea eneo hilo leo ikiwa ni sehemu ya ufuatiliaji wa utekelezaji wa  magizo aliyotoa kwa sekta husika wakati wa ziara yake aliyowahi kuifanya katikamaeneo hayo.
MAZING3
Naibu Waziri Mpina akimsikiliza katibu wake Bw. Daniel Sagata  kulia alipokuwa akimuonyesha tuta lililojengwa na kiwanda cha saruji cha Wazo cha Tegeta Jijini Dar es Salaam, Tuta ambalo  lilijengwa baada ya kujengwa mtaro wa kupitisha maji ya mvua yaliyokuwa yakisababisha kero ya mafuriko kwa wakazi wa maeneo jirani yaliyotaka na makorongo yaliyochimbwa na kiwanda hicho kwa lengo la kutafuta maligafi za kutengeneza saruji, kero hiyo inasemekana kupungua baada ya Naibu Waziri Mpina kuwahai kufanya ziara kiwandani hapo na kutoa maagizo.
MAZING4
Mtaro wa maji Machafu uliokuwa ukilalamikiwa na wakazi wa keko mwanga katika mtaa wa Mafuta.

No comments